@pastormasterkey: FAIDA ZA KUCHOMA DAGAA KIROHO kuchoma dagaa kunaweza kusaidia kufukuza au kuondoa mambo yafuatayo kiroho: Majini Roho za ufuatiliaji (Monitoring Spirits) Nishati hasi (Negative Energy) Na mambo mengine yanayohusishwa na usumbufu wa kiroho KATIKA ENEO husika KUNA NYUMBA ZINA MAMBO YA KUTISHA SANA,YAAANI VITANDA HAVILALIKI SAUTI ZA AJABU USIKU ,FUJO KAMA ZOTE JINSI YA KUTUMIA 🔥 Weka dagaa kwenye kikaango na uwaange kwa moto mdogo sana, ukiwa na mafuta au bila mafuta. Ruhusu moshi wake kusambaa ndani ya nyumba. YAANI ACHA ULE MOSHI USAMBAEE NYUMBA NZIMA NAKUAMBIA HIVI HAKUNA KIBWENGO WALA MAKATA ATAKAE TEGA MGONGO AKE KWENYE NYUMBA YAKO 🫂 KUMBUKA: Unaweza pia kula dagaa hao!