@dalaliperfectkigamboni: 🏡 NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI KISIWANI 🔥🔥 Unatafuta nyumba ya kumiliki kwa ajili ya familia yako au uwekezaji? Hii ni fursa yako! 📍 Eneo: Kigamboni Kisiwani 🏠 Sifa za nyumba: * Vyumba 3 vya kulala, kimoja Master * Sebule na jiko * Nyumba ya kujitegemea (Stand Alone) * Ndani ya fence * Parking ipo * Karibu kabisa na barabara * Umeme na maji vinapatikana * Kiwanja kina hati miliki ya Manispaa ya Kigamboni 💰 Bei: TSh 85,000,000 🤝 Maongezi kidogo yapo! ✨ Nyumba ya kisasa, eneo zuri kwa makazi ya kudumu au uwekezaji. 🔥 Usikose fursa hii ya kumiliki nyumba yako Kigamboni Kisiwani! 📞 DALALI PERFECT KIGAMBONI: 0713 092 780 #Kigamboni #NyumbaInauzwa #Kibembole #RealEstateTanzania #DalaliPerfectKigamboni

DALALI PERFECT KIGAMBONI1
DALALI PERFECT KIGAMBONI1
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 12:35:34 GMT
88
8
4
1

Music

Download

Comments

dramajr84
dramajr84 :
Boss WhatsApp hujibu text Au mpaka nitupiwe vitu njee nfio utaridhika [ tears of joy 🥹]
2026-10-09 12:51:19
0
To see more videos from user @dalaliperfectkigamboni, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About