@breezee..7: #creatorsearchinsights #fypシ゚viral__ #fyppppppppppppppppppppppp #funnyvideos #67millionlikes

BREEZEE
BREEZEE
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 12:36:00 GMT
98572
7336
370
988

Music

Download

Comments

makerwilliam1
Maker The Great :
afu baada ya hapo unaonekana unaambiwa uimbe peke yako mbele ya assemble😂
2026-10-09 14:55:12
550
alicejoseph6531
Elice :
umenikumbusha kila baada ya parade utasikia all form four kneel down😂😂😂
2026-10-09 14:38:48
289
user8827294442556
Mr kiga cape :
umenikumbusha niriimba kwa nguvu et mungu ibariki nyumba etu
2026-10-09 15:42:22
103
zuuhsamo
Zuuh_Samo..💞🧕🏻 :
Tulikua tunalinda brand..[Tears of joy][Tears of joy][Snicker]
2026-10-09 18:57:00
20
officialmij
Mij☠️💥 :
af kweli[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-10 13:01:18
1
jpd04114
BOY MNYAMA :
Ivi iyo pov: maana yake nini
2026-10-09 22:27:51
9
hellenkac05
hellen@ :
mi nilikuwa nachezesha mdomo bila kutoa sauti😅😅😅
2026-10-09 16:23:40
64
dunstunnchimbi
Dunstun Nchimbi :
Katika wimbo ambao sitaweza kuuimba wote ni ule wa "Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote" Dah wimbo una maneno mengi kinoma. Siujui mpaka leo 😂😂
2026-10-10 06:32:09
41
user8527513704485
Anny🌹💖 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]mm uyo
2026-10-10 16:16:30
1
faraja.peter.ngoi
raja 4755£# :
umetishaaa dog
2026-10-09 18:01:37
1
user1395312036009
Hadija :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] jamani wewe
2026-10-09 16:31:03
1
maryrosehenry2
Mary🌹🦋 :
Tabia ya form four hio 😂😂 wao na nyimbo za shule vit viwil tofauti
2026-10-09 15:18:24
64
agent_felix68
Agent_Felix🇸🇸🇿🇼+263 :
all over sudden me at stage
2026-10-09 19:54:15
1
userkayangela
miss kay🦋 :
😂😂😂mbona unatoa Siri zangu sa
2026-10-10 08:30:16
13
kisoka.emmy
emilicious🌹 :
form four ndo jau hawaimbi kwa sababu wechoka kuimba miaka minne🤣🤣🤣🤣
2026-10-10 03:57:22
15
jimmykimario3
jimmyjooh :
uwez amni skumbuki kuimba huu wimbo tena😂
2026-10-09 19:44:10
9
andypixely
Andy Pixely :
My copy😂🤣😂🙌
2026-10-09 13:14:00
11
last.born50525
Jacqueline :
sasa ndo uangaze macho kila kona😂😂😂
2026-10-09 19:15:50
7
gideonjuma8117
GM Gideon 🥰 :
Me nae utakaa kuniongelea kila siku🤣
2026-10-09 18:39:17
11
furahajackson8
fera2$nknk🍃 :
me labda mwalimu awe anajipitisha pitisha kukagua wasioimba ndo naimba🤣🤣🤣🤣
2026-10-09 14:35:05
14
lightheaven15
@Řeal Heaveñ...🤍🖤 :
hahahaha!!!! mwamba uyu apa😂😂
2026-10-09 16:34:29
6
zaka.paul
Zaka Paul :
🤣🤣🤣 sisi hao Tena kama ile nyimbo ya Tanzania Tanzania nakupenda Kwa moyo wote..ilikuwa ni baraa🤣
2026-10-10 12:58:13
1
its.emmy88
Emmy🏵️😻 :
huyu ni mimi kabisa😂
2026-10-09 18:21:05
2
mussa.dpz
Boyz.Dpz :
arf mwangu jau sana
2026-10-10 07:04:50
2
yusuphu611
RAYOWYZI :
acha sifa❤️basi umefaidika nann kwenye umwamba😁😁😁😁😁😁😁
2026-10-11 08:57:27
2
To see more videos from user @breezee..7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About