@prophet_isaiah_mkailwa: ♦️Warumi 10:9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
sasa Sisi tumuombee yeye na Sisi tutaombewa na nani
2026-10-09 14:33:38
40
HAMISI :
bwana yesu asifiweeeee maana yake ninn wasomi
2026-10-09 21:22:50
6
FEILY :
Yaani mtume amebet uzima wa milele
2026-10-09 14:49:53
18
uthma e. :
waislamu tusiache kuswali
2026-10-09 14:50:37
16
Seif bhaisa :
Allah pia anamswalia Mtume, na sisi pia tumetakiwa kumswalia Mtume. Sasa alikuwa akiombewa kabla ya hajakufa, uelewa mdogo. Hata kabla ya kufariki alikuwa akitakiwa Rehma.
2026-10-09 14:35:25
12
Cpt Komba Jr :
Yes...hiyo ndio maana yake
2026-10-09 16:41:59
12
posian :
bola niwe na yesu maana yeye haombewi ball Ana tuna muomba nakumnyenyekeaaaaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-09 18:20:04
6
Am cristian :
Atary , kama hana uhakika bas wafuas wake inakuaje ,, jamn
2026-10-09 13:35:55
10
shufaina😘😘 :
sasa na yeye ni binadamu kama sis ila amechaguliwa na mwenyezimMungu kutufikishia ujumbe kutoka kwa Allah(s.w)
2026-10-09 20:42:18
1
KANTA-B :
Hujaelewa.
Unatakiwa umswalie ili usamehewe. Bila hivyo mungu hakuelewi.
2026-10-09 18:34:47
1
Malik Malipula :
sasa kama kumbe kila mtu atabeba msaraba wake etiee ,namnapo semaga yesu kajakuwakomboa dhambi .
2026-10-09 17:40:31
1
chris :
sisi wakristo atuna uwezo wakumswaliya yesu kristo bali tunayo mamlaka yakuliita jina la yesu kukeya mapepo nakadhalika,ukristo raha😁😁njooni kwa yesu
2026-10-09 18:40:35
1
colins_martin7 :
Mt 9:13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
2026-10-09 23:31:39
1
ronaldwangila2 :
saw bana
2026-10-09 16:12:59
0
issa💪💪 :
tafadhali mungu let Elsinore
2026-10-09 22:27:12
0
neema :
nimechek san😂
2026-10-09 22:16:28
0
braiton fukuka :
nimekuona umeongea poity kabisa
2026-10-09 20:24:23
2
Freddie :
Ni utumwa sana
2026-10-09 22:37:07
0
thomas mhilu :
Asisti ya mwaka
2026-10-09 14:13:45
4
Ginimbitz :
Hizi Thoughts mnatolea wapi 😀
2026-10-09 18:03:38
3
ESTON RABAN :
Sasa wafuasi wake wataombewa na nani
2026-10-09 14:46:22
1
Nasra Mhina :
weumevulugwa
2026-10-09 15:07:01
2
kageti :
jaman tusomeni jaman jamn jaman
neno moja limaweza kupoteza maelfu ya watu TUSOMENI eee
2026-10-09 19:36:27
1
DEVID :
sina mda wa kuswalia mtume mimi mwenyewe tu nimeshidwa na angusha bila kuswali
2026-10-09 18:33:47
1
anu :
yesu. hataki. sadaka. taka. rehemaa
2026-10-09 18:04:21
1
To see more videos from user @prophet_isaiah_mkailwa, please go to the Tikwm
homepage.