mimi sina masharti na si lali na mwanamke mwengine zaidi ya mke wangu
2026-10-10 11:43:58
180
Shabany Jumanne :
hii ninge faul kwa 100% mana nilimuomba Mungu anipe mke na nilipo muoa Nili APA sita msalit na had nilifikisha miaka 5 ila mwisho wa siku tukaachana had leo bado naish bila kusalit had nikija kuoa tena😭😭😭nam missa na mtto wangu
2026-10-09 21:53:53
41
knack💜💜 :
niko zangu busy kuona usafi wa kapeti maana langu linaniwazisha chafu baraaa😂
2026-10-10 08:05:57
61
Good m shiner :
Nasema kuanzia sasa iwe amri kila basi liwe na sehem ya kuifazia maiti kuna watu inawalazimu kuzika wapendwa wao mbali kwa kukosa kiwango cha pesa ya kukodi gari ikiwa kuna basi zinafika maeneo hayo km kwenye ndege wanasafirisha maiti kwann isiwe hivyo na kwenye mabasi?
2026-10-12 13:13:59
9
meeraherasmus🥰🥰 :
Kwa kuangalia viideo kufua kunaoneka rahis 😂😂😂😂😂nimejaribu bhn nimejuta
2026-10-10 12:55:48
30
Vicent @APM :
wale tunaozingatia video kuliko kinacho ongelewa njoo apa🤣😂😅
2026-10-11 13:31:09
4
𝐇𝐀𝐖𝐀𝐋𝐋𝐀𝐓𝐘❤♊ :
Pamoja na yote ila hela za halali ni ngumu jmn😂😂😂😂😂 tunaomba muendelezoo
2026-10-12 07:08:01
40
JAY KENNATO. :
iyo sio rahisi kwa mwanaume 😂😂😂
2026-10-10 03:11:48
21
arafatimohamed0 :
noma sana dingi
2026-10-10 19:23:10
3
zenly confort💓 :
Jaman mganga yuko wapi😳
2026-10-10 12:12:07
6
Gee 🦋 :
tunaomba muendelezo
2026-10-26 07:20:48
5
Lastborn store :
Asa huyu mganga ndo angetufaa kwenye penzi letu mim na wewe @Eagle🦅
2026-10-15 07:52:11
6
Bi aisha🤎 :
tupe muendelez tajir😁
2026-10-09 15:32:46
26
Zaynatty Mohamedy :
Tusije kutaman maisha ya mtu
2026-10-10 03:10:12
12
ali :
uko mbele ya muda kw kuleta stori kali , na unasimulia chap chap