@bbcnewsswahili: Madai kuhusu uwezo wa vitunguu kutibu magonjwa kama mafua yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii. Lakini, je, kuna ushahidi wowote kwamba vitunguu vinaweza kuondoa sumu mwilini au kutibu maambukizi? Bosha Nyanje anaelezea #bbcswahili #mafua #tibayavitunguu#foryou #fyp

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 16:00:00 GMT
24067
916
25
65

Music

Download

Comments

kish.show.year.ann
Jimmy kishoyiana :
mafua ni nn guys😂
2026-10-10 17:45:37
1
life_x9x
HUSTLER :
ngoja niongee na chat gpt 😂
2026-10-10 17:53:59
0
binabediempire
Bin-Abedi :
Nataka nijaribu leo
2026-10-10 16:06:28
0
alexander.black.am
Alexander the Great 💪🏿 :
Ni kweli
2026-10-15 20:01:58
0
manka20203
user manka :
hiyo ni ukweli ulio dhahiri au vipi
2026-10-10 17:24:55
0
rahmajuma230
Rahma Jumaa :
kitunguu maji au swaumu jamanii
2026-10-10 18:39:56
0
kalalu23
Kalalu :
2026-10-10 18:55:21
0
yusuph.ndege
Yusuph makinga :
ndio ndio kwenye suala la kutibu mafua kitunguu maji kiko vizuri sana tena haswa
2026-10-10 17:59:54
0
kissah_255
KNM :
ndio mi nina ushuhuda nayo iyo
2026-10-10 16:04:28
0
colaniah
KEAUDTHEUR🇧🇶🇫🇮❤️ :
2026-10-10 17:28:46
0
elitzfx
EliTzFx🧢 :
miguuni pote huko?? Tengeneza mtindo wa kula kachbari Kila sikuu, weka vitunguu vingi, inafanya kazi Sana..Mimi Kila mwezi nilikuwa napata mafua, ila baada ya kuangalia hii video nikakumbuka Nina miazi minne sijapata mafua.
2026-10-10 19:24:45
0
samby_sambinho
samby :
inafanya kazi vizuri kabsa
2026-10-10 19:36:57
0
musamgeni9
Auto💫 :
SUMU IKINATOA ME NILI UMWA NA NGE NIKAWEKEWA NILIPO GONGWA NA INGE MAUMIVU YALITOKA HAPO HAPO NA NIKAWA SAWA
2026-10-10 17:59:33
0
old_boy199_
Old Boy :
sio uondoa sumu peke yake. hata kufukuza mapepo wabaya. hapo nyuma nilikuwa nikiangaika sana na ndoto za hajabu na mwili kuchoka ninapolala..sikumoja niliweka vitunguu maji kwasabbu ya mafua..niliona mtandaoni kama hivi..usiku nikiwa nimelala nilihisi kumpika mtu teke kali sana.. ninalala peke yangu!.. asubuhi nilipoamka nilikuwa na nguvu, kitunguu kilikuwa vimenywea kabisa..niliweka mfululizo na badae nilianza kuhisi mwili mwepesi zaidi.
2026-10-11 00:37:19
0
cutezarhy
cutezarhy :
mim namuwekeaga mwanangu ni kweli maan ukiweka lazima kinywee chote kwenye soksi
2026-10-10 18:04:59
0
user4823533385937
gesona :
🖕🖕🖕🖕🖕🖕
2026-10-10 17:12:09
0
bellamaty46
SIZZLA :
🥰🥰🥰
2026-10-10 16:08:37
0
nakupendaworld
Nakupendaworld :
🔥
2026-10-10 19:20:19
0
anifaramazany
mwavuta :
🥰
2026-10-15 21:30:26
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About