@devotajs: Chosen one Mafanikio yako, utafanikiwa sehemu nyingine mbali na hapo ulipozaliwa #chosenone #fyppppppppppppppppppppppp

Devota JS
Devota JS
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 13:43:54 GMT
24814
1638
152
34

Music

Download

Comments

ulukuwaimjukuu
ulukuwaimjukuu :
Mi niliondoka kweli[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]nikahama na mkoa kabisaa
2026-10-21 12:20:10
1
janethmarik2209
breeez<<
da mm nimenunua mabegi mapya nipo njian kuondoka nasijui naenda wap ila naona. safari moyoni imeiva🥲🥲🥲😪nateseka sana
2026-10-10 20:04:23
11
sonya_theone
Soni_ya :
Uje live basi mdada mzuri mzuri
2026-10-09 16:22:54
1
aminaalliii
Amina Ally :
Mimi huwa nahama mno...ata nisipotaka nitahama tuu, na kila safari itapelekea jambo fulani kutimia uko na ni kila baada ya miaka 3, lazima niondolewe sehemu nilipokuwa ata kwa lazima....nilipo hitimu chuo, nilikuwa naishi kwa ndugu yangu, nikawa usiku napambana vita hatari, asubuhi nakuta damu imevilia kwenye ngozi bila kujua nani amepambana na mimi, mpaka niliondoka pale, nikaenda kazini maana nilipata sehemu, nikakaa kwa miezi 6, vita ikainuka balaa, kupitia ile vita kuna mzee akaona, akaniunganisha na shirika kubwa sana la wazungu kuzidi yote eneo lile, nikafanya baada ya miaka mitatu wakati wanataka kunipandisha kazini koroni ikatokea, tukafanyia kazi nyumbani,ila mimi kati kati ya korona nikaunganishwa ofisi nyingine na mkoa mwingine na boss wetu, nikaenda pia ilikuwa ofisi kubwa kuliko lile shirika, nikawa nasafr hadi miezi miwili..nikirudi nakaa wiki au wiki mbili nasepa tena..baada ya miaka 3, ikainuka vita tena ilisababisha nihame japo sio kwamba ndani ya hiyo miaka palikuwa shwari, nikahamia ofisi nyingine, nafika tuu nakutana na safari za kazi nalipwa 170 kwa siku, safari yenye malipo km milioni nane hivi kwa mara moja,japo malipo yalikuwa kwa awamu, wakati naendelea pale nikaanza kuwasiliana na mtu ambae tulifahamiana miaka 5 iliopita, baasi mawasiliano yakapelekea kuishi wote, ikabidi nihamie kule alipo, ilivyofika mwaka wa tatu tukahama kutoka kule tupo sehemu nyingine nimehamia mwaka jana mwezi wa 12...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-10 13:42:36
7
mwaisumbe1
mwaisumbe1 :
mimi nalipwa zaidi ya laki nne kwa mwezi na kazini naingia Mala mbili kwa wiki Lakin bado nataka kuacha kazi niondoke sijui nimelogwa
2026-10-09 18:11:41
2
user2922575773493
monmas :
thank you God for this blessings I will travel soon Amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
2026-10-09 19:31:35
1
blacktz..official
Black sheep..afficial💥💫💥 :
dada devota mm nliyoyapitia hata huku nlipo skuja kwa kupenda mm nimatokeo tu
2026-10-09 17:43:39
1
veeee.fashooony
Veeee fashooony :
Nimesha ondoka dada niliondoka mala mbili 😂😂😂😂😂
2026-10-09 17:31:24
3
zuchuwalikoni
zuchuwalikoni💓🥰 :
nauliza dada...choosen one n water child anaweza kuwa mtu mmoja
2026-10-09 14:41:44
3
winnie.w.awakener1
W.w.peace e awakener🧘💧🕯️🤍 :
unachoka n iyo place alafu watu wanakuingilia sana,naona muda wangu umeishaa Huku,pia nliona kiroho mafanikio yangu hayapo hapo ,my mission is complete here ,hapa ndio nlipitiaa shida sanaaa,mungu ingiliaa kati🙏
2026-10-10 05:59:30
2
priscamuka185gmail.co3
janneth :
kati ya vitu ambvyo siangaiki ni kutaka kuondoka mimi kila sehemu nayoipenda kwenda lazima niende nimebkza nje ya afrik
2026-10-09 17:57:56
1
user78340157159556
sadam :
mbn dada kama una nambia mm vile yani duh mung akubarik
2026-10-09 14:58:26
1
zalyma5
zalyma :
yaamm kabisa tena nnje ya nchi yaan mpaka namwambia mume wangu lazma nieende nje ya nchi
2026-10-10 04:16:29
1
rare_gem92
Rare_Gem💎🇹🇿 :
niliondoka dar dada 😂😂😂
2026-10-10 09:45:57
2
clare.wasike5
Mrs Wekesa 💕💕💕💖💖 :
weeh mm nilioleka lakini akili yangu haiko Kwa hio mboma ya kina bwanangu kabisaa yaani kitu huniambia lazma tutatoka hapo🙏🙏🙏
2026-10-09 19:03:42
1
001favoredhilda23
Mutheu 💝💖💖💥 :
My situations now 😏
2026-10-09 19:19:37
1
user2632430890952
Winnie 🌼 :
Kama maofisin jamn hii Hali inasumbua anii
2026-10-09 14:32:33
3
rango.boy7
Rango Boy :
amen
2026-10-09 15:24:28
1
leilathassan5
rayna :
nishaondoka kipenzi
2026-10-09 16:37:37
1
savagegaming16
SAVAGÉ :
😂aseh mm maAncestors wng ni madavooo(madereva)😂😂
2026-10-09 14:01:37
3
mwixjyelo
God's chosen and favored child :
It has just happened to me am so grateful I really wanted this niende niishi kivyangu all distractions are over
2026-10-10 09:17:18
1
cascm.virile.mhil
Cascm Virile Mhilu✌️🇹🇿🫶🐎✊️ :
😳Mungu wangu wew dada mbona kama mpaka najiogopa yani mpaka natetemeka ni kweli kwa sasa nina nyumba tatu dar es Salam sehem tofaut kigamboni vikindu chanika lakini niliondoka kwetu Tanga 2010 nikaachana na ndugu wote nikaamua kuishi mimi kama mimi leo nipo apa 2021 nikaoa 2022 nikapata mtoto nikiwa mkoan kwa watu
2026-10-10 10:25:35
1
benkingola
B. M. K :
Nimesumbuka sana na hili swala , sababu ni kwamba biashara yangu ipo karibu na kwetu na nang'ang'ana sana kujiimarisha lakini siridhiki kabisa nikiwa maeneo haya.
2026-10-09 15:45:05
2
mkosashingo
mkosashingo :
hata ukiondoka utarudishwa tu kwenye ardhi ya kwenu kwa nguvu
2026-10-09 18:40:10
0
bestara.moses
Bestara Moses :
wemama wemama jamani jamnani sina lakusema mungu akuweke
2026-10-09 14:53:22
2
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About