@dr_daniel_md: VYAKULA 10 VINAVYOWEZA KUSABABISHA SARATANI! ⚠️🎗️ Je, unajua kwamba baadhi ya vyakula tunavyokula kila siku vinaweza kuongeza hatari ya kupata saratani? Katika video hii, nimeelezea vyakula 10 vinavyohusishwa na ongezeko la hatari ya saratani kwa mujibu wa tafiti za kisayansi. Utajifunza ni vyakula gani unapaswa kuvipunguza au kuviepuka, na namna ya kufanya maamuzi bora kwa ajili ya afya yako na familia yako. 🩺 Kumbuka: Si kila chakula kinachohusishwa na saratani kitasababisha saratani kwa kila mtu. Hatari hutegemea aina ya chakula, kiasi unachotumia na mara ngapi unakitumia. 🎥 Tazama video mpaka mwisho, kisha niambie kwenye comments: Ni chakula gani kati ya hivi unachotumia mara nyingi? 📲 Share video hii na familia na marafiki zako ili nao wajifunze namna ya kujikinga na saratani kupitia uchaguzi bora wa vyakula. Afya yako ni mtaji wako! #DrDaniel #Saratani #Afya #LisheBora #CancerPrevention
We Dr ngoja niku unfollow mana utaniua kw pressure😅
2026-10-09 17:01:41
2
Deus.m.i🦎 :
acheni zenu
2026-10-09 15:45:55
0
Lutaya :
Asante doc. you've help me to treat ma kidney. ma cretins wos so high en out of your advice am doing well after checking out. ma next cretins checking will be 14/11/2026.
2026-10-09 14:26:05
0
Nick 🇹🇿 :
SASA TULE NINI AISEEEEE??
Mzee tutakufa tu hakuna namna
2026-10-09 14:45:02
10
Hybrid 😈 :
We all dead then😏😂
2026-10-09 16:31:23
0
Beller D :
Usiweke wali maharage plz[Teary eyed]
2026-10-09 17:12:34
0
pastor Zauni :
Asante
2026-10-09 15:09:00
3
poneraa :
munauliza mule nn kulene majani na maji ya bahari
2026-10-09 16:00:12
1
@neytz70 :
kwaiyo tusile Sasa 😂
2026-10-09 17:27:56
1
Sataekh 💎 :
tumewachoka jmn Kila kitu tusile,hayo maisha hatuna sasa 😂😂
2026-10-09 14:48:58
9
Alice❤️ :
KFC ungeiacha tuu mwaya😅
2026-10-09 16:27:55
1
HAMKHALY :
Aisee ni hatari kwelii kwelii
2026-10-09 17:20:04
0
creshaz 🥰❤ :
tule vitu gani sasa?ambavyo avina kansa
2026-10-09 14:30:38
2
BIG DADY SOUND :
maji ya dukan je mbona uyaongelei
2026-10-09 15:20:57
3
Irenedeos928 :
mim ni mnene je nitumiye vyakul gani ili niweze kupunguza mwili
2026-10-09 14:11:35
4
Fredrick Luhanzo :
madaktar top
2026-10-09 15:38:18
1
BOSCO BTC FASHION 🇹🇿 :
Asante
2026-10-09 17:16:55
0
lizzyluna321 :
Bora tukale maziwa na asali mbinguni 😂
2026-10-09 16:39:07
1
BIG Man :
sasa tule nn ndugu yangu ,mbona umetaja vyote
2026-10-09 15:36:39
2
Michael de papi :
Sayansi nayo ukiifatilia sana huli chochote..
2026-10-09 15:15:35
1
Tm Basa :
Saaa tule nini jamani
2026-10-09 15:46:48
2
Aloysia Maiko :
jamani tutakula nn sasa
2026-10-09 15:13:17
1
Jesca157 :
maziwa mtindi je?
2026-10-09 14:30:17
1
Jomson Tz :
ko tusiwe tuna kunywa chai sasa
2026-10-09 14:58:39
2
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm
homepage.