@bbcnewsswahili: Magonjwa ya moyo yanaweza kuathiri moyo, ubongo, figo na viungo vingine muhimu vya mwili. Lakini ni magonjwa gani ya moyo yanaweza kuhatarisha maisha kwa haraka? Haya ni magonjwa 5 ya moyo yanayoua haraka na dalili za kuzingatia. Bosha Nyanje anaelezea #afya #moyo #bbcswahili #foryou #fyp