kaka kila mtu anaetafuta pesa akili anazo ila mafanikio yanaitaji ujitambue
2026-10-09 18:01:46
2
fathum :
umetuamulia leo
2026-10-09 18:55:05
0
jackline joseph :
mbona ghafla😂
2026-10-09 17:10:24
0
mikoly :
sawa sawa wenye akili
2026-10-09 17:35:00
0
similtone609 :
sawa Ila Mungu kwanza
2026-10-10 00:38:43
0
king bad bad🙏🇰🇪🇹🇿 :
true
2026-10-09 19:33:13
0
chelsemangale :
nataka kuiweka sitatazi lakini nitapigwa hapa 🤣🤣🤣
2026-10-09 17:33:43
0
Chiku Kagoma :
ni kweli kbs
2026-10-09 16:44:38
0
Tammy Boy :
sahihi
2026-10-09 18:12:12
0
Final Say :
Sio kweli coz pesa haina specific time ila uishike,cha msingi tupambane tu
2026-10-09 22:37:58
0
Stella massawe :
Kwa sababu ametununulia bado sio....
2026-10-09 17:45:30
0
@Mo decoration### :
wa kwanza Ku comment Moja kwa ajir yangu mkuu🫡🫡🫡
2026-10-09 15:34:55
0
Halma Chris Brain :
hela hyo kias gan ndo nijue kama na akil
2026-10-09 16:03:59
0
actionboy :
Mkùuu umetixhaa sana
2026-10-09 20:10:49
0
LUXERA OFFICIAL :
kweli matajiri wengi ni hawana akili hata mfalme alioanzisha ulazima wa elimu alikuwa hana akili akaona ili wenye akili waache kumsumbua akaweka mfumo wa michezo akawa anawalipa pesa nyingi na kuleta ushawishi kwa jamii wazingatie michezo na ushindani pia akaweka mfumo wa elimu ili kuwafanya watu wote wawe busy na elimu pia michezo😂
2026-10-09 19:11:21
1
humble :
Asante MUNGU baba tunaomba msamaha na tunaomba neema Yako Leo na hata milele na utujalie mwisho mwema amen
2026-10-09 21:34:11
0
To see more videos from user @moneykeyisaya20, please go to the Tikwm
homepage.