Tunashkuru camera man umetupambania😂 japo kwa tabu🤣🤣🙌
2026-10-10 08:31:30
22
Nyemo Khan :
napenda mkifarakanaaaa
2026-10-10 13:27:47
4
johngasto4 :
jkt ya sasaiv sijui ikoje had vijana wanapata mda wa kurekod,cc tulikuwa tunaitwa tunaforenishwa mnaambiwa alikiba katoa nyimba mpya kamanda anawasha kidogo kionjo zen mnaendelea na majukumu