@islamicswahilinet: Kuswali Pekee Hakutoshi Kuingia Peponi Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 15:10:24 GMT
25835
3755
35
73

Music

Download

Comments

kompany.tupak
MUSLIM_ALONE_008 :
SHEIKH SAMAHANI ILA WATU UNAWAKATISHA MOYO SUBHANALLAH
2026-10-09 15:58:32
17
user5802391752293
user5802391752293 :
sikuumba watu na majin isipokuw kuniabudu
2026-10-09 17:21:39
9
aishazilifa
Aisha Zilifa :
ALLAH AQIBAR 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-09 19:43:07
0
dayara..cebola36
Dayara..Edgar..Cebola :
Allah akbra
2026-10-09 18:24:52
3
samir.abedi
mruma_tz :
hakika jambo la kwanza kuhesabiwa siku ya kiama ni swala ikiharibika swala yameharibika matendo yote
2026-10-09 18:05:35
3
hans_khan1
💦ℌ𝔞𝔫𝔰 𝔨𝔥𝔞𝔫1💦 :
yah kuswali nilazima . lakini unaweza kuswali na kuenda motoni sheikh yuko sahihi tusome 🥰
2026-10-09 18:17:42
3
badru.hassan
Badru Hassan :
ishaallah
2026-10-09 15:36:54
3
sur.user68
🇿🇦//🇲🇼..... :
Allah akbar
2026-10-09 15:44:33
2
www.simba0065
Shibu :
mashallah
2026-10-09 21:13:16
0
derulo.255
SULTAN👑 :
Allah atupe mwisho mwemaamiiin amiiina amiiin amiiina amiiin amiiina amiiin amiiina amiiin amiiina amiiin amiiina amiiin amiiina amiiin amiiina amiiin amiiina
2026-10-09 19:36:10
0
swalehrajabu411
sureyz :
Nimekuelewa shekhe ,,M/mungu hakujalie huai mlefu,,na hafya ,,uzidi kulingania waumin
2026-10-09 21:34:56
0
young.bady6
Kero zedoni :
kwelii shehe wangu
2026-10-09 19:35:27
0
daizi1982
Daizi :
Allah Akbar
2026-10-09 18:59:20
0
najiih.miih
NAJ miih :
Allah akbar
2026-10-09 19:25:43
0
amourx.69
Wawa seven :
kw iy tusiswal tukapigan t
2026-10-09 20:38:31
0
akbaru.ally2
Akbaru Ally :
kwahy she wang ww ap moj kwa moj ap pepon
2026-10-09 19:52:52
0
rajabumusa275
🌹🌺🎆ROJA _32 :
🥰🥰🥰
2026-10-09 17:56:51
2
user719472474zetion
RASTER BIZ :
💪💪💪
2026-10-09 19:01:59
1
lothphilipo
janja nasibu :
🥰🥰🥰
2026-10-09 17:29:34
2
yasco.killer
yasco killer :
💯💯💯
2026-10-09 16:20:40
1
officialmbaule
😁Mr smile😁 :
🔥🔥🔥
2026-10-09 17:04:22
1
elcapitano623
El-Capitiano3520🥰💞💢 :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-09 15:12:33
1
afficualnasoro
NASOLO. HOTTE. FAMILI :
🥰🥰🥰
2026-10-10 04:08:07
0
ntahondi.juma
NTAHONDI JUMA :
😁😁😁
2026-10-09 19:40:30
0
ramsaray3
Disconnect @$# :
💕💕💕
2026-10-10 05:05:01
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About