enzi zetu shule apo umenikumbusha mbali niliwahi kuchora Tu kwenye karatasi Msicha na mvulana wakiwa wanatongozana
mwalim akaniona nikiwa naadila ye huku akifindisha akanita nimuonyeshe ninacho kiandika alasoma
weeeeee nilipewa azabu akuweka miguu juu ya ubao wambere miguu chinii
mpaka nilijikojolea
ndo ikawa aibu yakwanza shureni daah๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
2026-10-09 16:31:15
1
wamipalofurniture :
mwanasta jau sana family yamwanasta liki๐๐๐๐๐๐ naombeni