@rafiki_wamaombi: #creatorsearchinsights

rafiki_wamaombi
rafiki_wamaombi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 15:21:15 GMT
20636
2063
93
41

Music

Download

Comments

pendo.mbwambo6
Penny🩷💕 :
nampenda sana huyu dada saut yake inanibariki🥰🥰🥰Mungu akutunze kwa ajili yetu dada yetu mzuri
2026-10-09 16:41:19
18
tookutooku0
Tooku Tooku :
lini tena tunakutana???
2026-10-13 09:54:56
1
farajamtandi86
faraja :
Mungu nisaidie😭 kweli nimechoka sana 🤦‍♂️
2026-10-10 14:05:22
1
princesshope576
HOPE NICE PERFUMES :
mnapatikana wapi na siku ipi na ipi ratiba ikoje
2026-10-09 20:49:57
0
mslizzy61
Ms lizzy🦋🔐 :
Nimelia na wewe bwana watu nikiwambia mambo yangu wananicheka , ila wewe ndie msiri wangu. Leo nina kicheko Sifa na hekima ni zako MUNGU. Barikiwa mommy kwa ajili yangu🥹🫂🙇🏾‍♀️
2026-10-10 06:31:38
1
yumywajesus
yumywajesus :
Nawapenda
2026-10-09 20:47:17
0
getrudegibai
gg :
Amen Amen asante kwa kunitia nguvu
2026-10-10 13:21:08
0
ministeroliveramani
ministeroliveramani :
Nimechoka nimechoka nimechoka
2026-10-09 20:57:45
0
frolenceamos1
Frolence Ntenga+255 :
Amen
2026-10-09 16:22:29
1
afromask_
Afromask_ :
Mama nakupenda 😭😭😭
2026-10-10 01:42:09
0
23jackline
mom's dota🥰 :
Mungu ckiliza moyo wangu 🙏😭😭
2026-10-09 20:06:19
0
phinie_1
phinah🌹 :
💔💔💔 asantee kwakutukumbusha dear
2026-10-10 16:28:13
0
nuru5782
Nuru🥰 :
Asante kwa manen mazur
2026-10-10 05:34:41
0
rachellusekelo
Rachel♊🦋 :
Kwa mara yakwanza nmepat Amani na nguvuu mpya nlipo kuj kweny mkesh wa tareh 2
2026-10-09 19:06:30
0
lucybby61
@Lucy370 :
niunge
2026-10-09 19:45:05
0
user4839331035720
Ninnah New arriver🔥 :
amen mama
2026-10-09 18:24:12
0
stella10452
stella :
Amen🙏
2026-10-10 09:47:32
0
betinamakero
Betina Makero :
Amen 🙏🏻
2026-10-09 15:42:04
0
meme_cute223
pretty lina🥰🦋🥀lone wolf :
mnagroup au unaweza nìsaidie nijue siku ya kukusanyike nami niwepo1🥹🙌
2026-10-09 16:51:59
0
user5216712040180
Rennie :
sauti yako ni ya mamlaka dada
2026-10-09 18:24:46
0
doll_face056
phie..🦋💕 :
Nina ushuuda kwenye mkesha huu niliomba kwa Iman ilikua ijumaa j4 nikajibiwa nyiee🥺🥺🙌🙌
2026-10-10 05:46:01
0
msrkher
🌸🌹 mrs kher🥀💖🌹 :
jaman ninaushuhuda kwenye mkesha huu kuna mambo mengi nimefunguliwa natamani iwe Kila siku🙏🙏
2026-10-09 19:36:29
2
janethwilliam5
JANETH WILLIAM :
Amen Mungu azidi kutupigania bila yeye hatuwezi
2026-10-09 15:41:05
0
user986381356
Joyce haule :
be bless mama mi nakupenda 🥹🫂
2026-10-09 17:57:56
0
j.cosmetisc1bysherrytamu
J. Cosmetics 💄 :
Rafiki, mama, Dada, mentor @ rafiki wa maombi 🔥🔥🔥🔥 me nakupenda mama sauti yako ni Baraka mno
2026-10-09 17:42:28
0
To see more videos from user @rafiki_wamaombi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About