@islamicswahilinet: Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Friday 09 October 2026 15:28:29 GMT
Music
Download
Comments
RAYMOND Mwengwa :
mazingeeeeee
2026-10-09 18:39:04
1
zainabuadam613 :
duuuh ni hatar saaan umezungumza ukweri mtupu
2026-10-09 16:50:25
4
Kubangaiza M Kundavi :
Kumbe ndiyo maana MTU akiniita Abdallah sijisikii poa
😂😂😂😂
2026-10-09 17:07:45
2
user7233481615181 :
kbs
2026-10-09 20:32:23
1
salehawadhy28 :
kwenye u tube kusikiliza full tunaipataje
2026-10-10 00:01:01
1
idrisa mangala :
ndiyo sheikh wg
2026-10-09 18:24:02
2
Abdi mohamed :
true
2026-10-10 04:45:39
0
Aisha Mohamed :
kweli kabisa
2026-10-09 15:49:21
1
hawa muchelule :
Allaho Akbar
2026-10-09 18:29:03
1
H2🦅🕸️ :
mambo makali iyo😥
2026-10-09 17:39:19
1
Abuu Aisha assalafy :
subhanallah ❣️❣️
2026-10-10 03:39:26
0
Amina Djuma :
allah akbar allah atunusuru nao ao
2026-10-09 17:44:46
1
peace :
leo tena hilo pigo,mana waislam wakiambiwa tu ukweli wanamchukia mwenzao
2026-10-10 05:25:25
0
Aminasudi :
Swadakta
2026-10-09 16:16:47
0
Lameck Diwani :
uko sw naja
2026-10-10 03:25:04
0
H2🦅🕸️ :
innalillahi wa innalillahi rajiun
2026-10-09 17:36:43
1
Khamis Mwauso :
❤️❤️❤️
2026-10-09 17:55:33
1
MPOLOKOSO :
👏👏👏
2026-10-09 18:03:39
1
user8368232516385 :
🥰🥰🥰
2026-10-09 17:45:29
1
Abdus JR :
🥰🥰🥰
2026-10-09 15:50:08
1
Mima :
🤝
2026-10-10 03:49:37
0
Muhammadi Paul Pius :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-10 05:04:05
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.