anaitwa malwa yani ilikua iv fbjshndjjoiyes nmgxbnjdbnkhv asante nishushe
2026-10-09 21:36:16
2
malaikajacobtito :
October 29 2025 alikuepo?
2026-10-09 20:19:13
2
Steven tomy 🌍 :
anaitwa Marwa mwanangu sana
2026-10-10 06:02:08
13
Kashirikale II :
nina mfaham vizuri sana huyo jamaa na ninafaham mpaka historia yake anaitwa Marwa mpaka familia yake naifaham kuanza kuugua kwake mpaka alipo fikia hapo alihamia tu ametokea Mgusu kama unahitaji nitafute dadaake aliwahi kuwa Girlfriend wangu
2026-10-09 18:57:32
23
Francis :
Wapelelezi hao kaka usimwamini sana
2026-10-09 18:24:29
14
🌸queen👑 libra♎ :
alafu hata hana shida unaweza ukakaa nae ukapiga nae story kama kawaida mtuachie marwa wetu🥰
2026-10-09 18:07:31
10
abdurahim nikata :
hakuna jeshi lenye level hiyo uwe jwtz au jkt level ya nyota nne haipo ukitoka u captain Kuna kubadilishwa na kuwa major
2026-10-10 09:31:24
1
Humphrey Jr :
mmmh mwanajeshi mwenye nyota 4 hii ndio nasikia hapa 😁😁😁
2026-10-09 19:20:43
7
JUNIOR JOHNSON :
wabongo wanasema et ni mtu wa system 😁😁😅😅
2026-10-09 20:17:50
5
Gasto Muganyizi Jr. :
Nyota nne ,ukimaanisha kwa mabega yote mawili ,yaan bega la kulia nyota mbili na kushoto nyota mbili ambacho ni cheo Cha luteni .Maana hakunaga cheo Cha nyota nne
2026-10-09 17:34:14
10
Rebecca❤️ :
Anaitwa malwa
2026-10-09 18:06:19
6
Mpenzu_Tz🇹🇿 :
BABA LETE ELNINO HURUMA SIO MALEZI🤥
2026-10-10 08:40:22
1
power.. mnyamwezi :
hakuna mwanajesh wa nyota 4 zaid yamkuu wamajeshi
2026-10-09 20:46:42
4
Elshavin Joel :
me nimeanza kumuona toka zaman sana afu hua abalikag sasa
2026-10-10 04:57:57
5
yusra katanga :
nipo dodoma n sjawahi kufika katoro lkn smjui🤣
2026-10-09 18:26:05
5
Notorious :
kwa Jwtz nyota 4 zipo ni wew una uelewa mdogo
2026-10-10 10:17:31
0
Feydorls🦋 :
Ukute ata sio chiz mana kunawatu wanaish hvo ili kuepuka mambo flan flan na kulinda maisha Yao pia, kiufup maisha yana siri sana jaman dah ila Mungu amuepushe
2026-10-09 18:27:32
8
Maxwel Davis :
Hivi unajua ukiongelea nyota 4 jeshini unamzungumzia nani mkuu😂😂
2026-10-09 22:09:23
1
Jb kadege 🐋 :
nyata 4 hakuna
2026-10-09 20:54:32
2
user5771510154852 :
alikuwa tajili sana wakamloga
2026-10-09 18:45:00
2
jeremiah buganda :
me namfaham alikuwa mkulima alikuwa na ng'ombe mia 4 kuku mia 4 kondoo na mbuzi mia 4 ba wake wa 4
2026-10-09 21:36:46
2
⚜️Nelly🔹️2️⃣N6️⃣🔹️Ville⚜️ :
mh
2026-10-09 16:50:56
2
user5771510154852 :
anaitwa malwa
2026-10-09 18:43:57
2
To see more videos from user @salutemedia, please go to the Tikwm
homepage.