Huyu jamaa nilikutana nae stendi kuu Arusha,...Alimueleza mama Ntilie, leo sitaki hela naomba chakula ila sio chakula cha bure, nitaosha vyombo vyako na kusafisha eneo lako.
2026-10-10 12:36:32
25
trishaaaah🥰🔐 :
naomba namba zake nimsapoti ata yakula leo
2026-10-10 12:04:07
18
Erick Salla :
mm mwenyewe nilisha kaa siku tatu bila kula nikawa nakunywa maji tuu,inauma sana
2026-10-09 21:54:30
44
Tressah200 :
Nature of man
2026-10-10 05:28:37
0
Gwaki de bio :
God lead him
2026-10-10 11:54:56
1
Agness 👌 :
mbona yupo maji
2026-10-10 07:29:56
1
Prince Leo :
Dahh nitafutien huyu mtuu nimpekazi
2026-10-10 18:39:36
3
mussa_khalipha :
mungu akufanyie wepesi kamanda kikubwa uzima
2026-10-10 06:27:49
26
🦋restuta🦋🤍 :
weka no tumchangie apate mtaji kidogo
2026-10-10 06:51:53
7
Rommy🎁 :
naombaa nijue yupo sehem gn kwa chchtee nlicho nacho ata nimnuliee chakulaa kwa siku nzimaa pleas 😭😭😭 nipo arush pia
2026-10-10 06:23:29
8
wakipigo :
ukiona mtu hataki ata hela tambua kweli tuko mwisho
2026-10-09 23:46:18
17
wastara izengo :
daaah yan ngoja nishukur2 kwa haya kuna wengne yamezid jamn
2026-10-10 18:33:53
1
sabato :
please tunaomba tumsaidie kwa chochote
2026-10-10 06:47:55
5
Baba G :
Namwonaga sana mitaa ya Kariakoo Arusha mjini
2026-10-10 09:44:15
2
Its Flora🌹❤ :
ninamfikiaje nipo Arusha Sinon please
2026-10-10 08:30:13
2
dercky_malisery :
nimejikuta nalia maan inauma sana kwakwel maana kumeza dikropa bila kula ni mbaya sana kwakwel😰😰😰😰
2026-10-10 01:59:16
5
MICKART :
mpee kaka ameongea ukweli
2026-10-10 08:30:44
1
Robyong :
nimejikuta nalia daaaah sina hata cha kusema mimi maana nimekuwa na maumivu daaaah😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-10 04:56:32
2
njiu :
daaah inaniuma sana pole sana broo😅
2026-10-10 11:20:57
1
neythan🥰🥰🥰 :
mungu akutete San ktka safar yako
2026-10-10 14:14:13
1
munisi :
naomba mawasiliano nae
2026-10-10 02:55:01
3
gervas :
mwanaume💪💪
2026-10-09 22:57:55
2
2pac amar v shakuru :
pole ase bro alla atakusaidia
2026-10-09 23:08:23
1
To see more videos from user @dmtech.arusha, please go to the Tikwm
homepage.