@mwangomile_: @last_born oya wanangu mnifollow tuu nna vingi vya kuwaambia.. 🙌🙌 A kid from mbeya #mashabikizangu🙌 #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp #tiktokkenya🇰🇪 #tz

last_born
last_born
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 16:11:41 GMT
106001
5547
236
373

Music

Download

Comments

peterson203
~peterson2🎮🏀 :
Story teller🔥 unajua
2026-10-09 16:32:42
3
kwaniwenani45
Zideboetz 🔥💯👽 :
bro mm nakukubali sipiti post yako ni point unaongea on real life [Fist bump][Fist bump][Fist bump]
2026-10-09 16:43:45
1
ester.christopher96
Ester💫💦🪷 :
ilaa ngoja nitafute tu helaa mapenzii yataniuwa🥹
2026-10-09 16:49:58
74
alisha.dullah
Alisha dullah :
nasubili wakat wa mungu maana mapenz yataniua 😭😭
2026-10-09 18:48:31
15
naratz61
Nara Tz :
Naqubal story Zak bro
2026-10-09 18:05:05
1
hemedi_the14teens
JIMMY :
broh hiyo background sound naipataje 🥺
2026-10-09 17:45:32
1
brivannyjr
brivanny :
Fact dawg
2026-10-09 18:14:19
2
eyose52
eyose52 🫣Mr hansboe🥳🫀 :
toka nime kujua na kuku fatilia kaka leo ndo ume ongea ki2 mpaka kime nigusa sana truu
2026-10-09 18:49:33
8
mwinjumajr
chuseability :
Daaaah umenipa moyo sana ngoja nitafute maisha mdogo mdogo
2026-10-09 19:04:16
8
callie.apple
Callie Mbwambo :
Kuna watu no ving’ang’a lkn
2026-10-09 16:43:47
12
crownenuch
JUNIOUR KARA'CAY🇹🇷🇹🇴🇹🇿 :
bro umenikumbsha 2022🥺🥺🥺daaah
2026-10-09 16:38:58
8
user1572565066636
FREDY MAPESA :
blood respect sana 🩸💪
2026-10-09 18:11:04
1
1524jy
jomayani :
il sio kwa wale washa fika levo ya kuwa mama hao thamani inapanda bhan
2026-10-09 17:33:25
10
b.girl026
B girl🦋🦋 :
nakubali sana kaka story zako
2026-10-09 16:20:34
6
user53976852754603
biadha official 💞💞😜😜 :
ko mamb ya simba wanga ndy umwtuzilia
2026-10-09 16:15:25
9
yuzzo.2002
bwana shamba 2030 :
napend kukusikiliz coz unanikumbish mbal Kuna mtu namkumbuk
2026-10-09 20:51:48
2
muuya867
muuya867 :
Daaah! kaka leo nimenitia moyo sana mm ni mmoja wa wale najiona sina kitu alf age still kweny 20s let's continue fighting wanangu..
2026-10-09 20:35:00
1
adamismail427
Adams# :
nakuaminia kaka
2026-10-09 18:17:31
1
angeli10877
angeli :
daaaah
2026-10-09 17:52:15
2
the.killer.snake0
#^$&&chatgpt 😱😱😱 :
kk nipo na wewe kwazia mwanzo
2026-10-09 19:33:57
1
abdul.salum6
Young-Dully :
kaka nakubali sana stori ako
2026-10-09 16:46:40
1
tecla_elly
Tecla_Elly :
Daaaaah nimeumia sana dada akoo🥺🥺
2026-10-09 19:23:05
1
user37804145204058
DAN COOPER🎮💪 :
RESPECT MKUU 💪
2026-10-09 17:13:38
3
sheisanniy4
sheisanniy4 :
Wakwanza
2026-10-09 16:15:17
4
mo.dewj.69
mo dewj 69 :
kk nakufatilia tangu mwanzo unaanza kk respect
2026-10-09 18:56:02
2
To see more videos from user @mwangomile_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About