@gb_steve: Warokole msipaniki 😄#Millionviews #viral #goviral #viralvideo #searchcreatorssearchinsights

APOSTLE GB
APOSTLE GB
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 16:27:27 GMT
7510
264
22
35

Music

Download

Comments

godenough.moses
𝙶𝙾𝙳𝙴𝙽𝙾𝚄𝙶𝙷~𝙼𝙾𝚂𝙴𝚂 :
Mm bila hata kibiblia i concur with you 🫰 for the reason -Just after 18yrs we become sexual active na i trsut God anajua how hard is without having sex.
2026-10-10 02:20:09
0
last.born.of.god41
last born of God :
Mhubiri 7:16 Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwani kujiangamiza mwenyewe?
2026-10-10 01:59:59
4
user6757323449821
Faraja Kisiri :
BROTHER TAFUTA MAANA HALISI YA NENO PIA USITUMIE ANDIKO MOJA KUTOA TAFSIRI YA KUPOTOSHA WATU UTAKUWA KAMA NABII WA UONGO NA UNAJIWEKEA KAA LA MOTO KICHWANI MWAKO 1wakorintho7:36-37 Kama mtu anaona kwamba hamtendei vyema mchumba wake asipomwoa, na kama tamaa zake zinamshinda, na afanye atakavyo; waoane tu; hatakuwa ametenda dhambi. 37 Lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi asipomwoa huyo mwenzake bikira
2026-10-09 23:22:15
4
gb.stev
GB STEVE official.. :
kama kuna mwanatheologia anapingana na hii hoja anitafute tukae mezani...tuichambue biblia✍️✍️
2026-10-09 20:09:03
2
babaa26_
Babaah :
Daah umesabqbisha leo nifungue biblia[Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-10 00:05:20
1
hermida.helman
Hermida Helman :
Mtumishi ww unapenda mambo hayooooo😂😂😂😂
2026-10-10 00:45:07
2
gladypeter3
Glady Peter :
kumekucha kuhalalisha mihadarati[Teary eyed]
2026-10-10 00:11:17
2
aldanbuya
Aldan :
mmmh
2026-10-09 18:27:05
3
lo0683548581
Joseph drummer :
wametoleana mahali kaka elewa kaka
2026-10-09 22:52:46
2
user8038031991176
daniel :
kwaiyo unatakaje?
2026-10-09 20:53:35
1
j.o.h.n41
johnkiller11 :
kor1. 7.36
2026-10-10 04:16:14
0
madigison1
Madigison :
hata ndo madhara ya kujifunza bible online yaan mnakariri tu
2026-10-10 03:21:58
1
dr.mjuni7
Dr.Mjuni :
kwani imani yako inasemaje baada ya kufanya
2026-10-09 23:07:16
1
amani.giyam
Amani Giyam :
Haimaanishi hivyo mtumishi unapotosha maandiko mtume paulo hapa anazungumzia swala la useja ( kuishi bila mke) kama yeye alivyo kwa hio anamaanisha kama huwezi kuishi kama yeye mtu aoe. mtume huyo huyo paulo amesema ikimbieni zinaa 😂😂 Barikiwa mtumishi kasome tena.
2026-10-10 01:43:01
0
daudimwakibete
daudi mwakibete :
Anaembiwa hapo ni baba au mlezi wa mwanamwali sio kijana wakiume, usipotoshe vijana tafadhari.
2026-10-10 01:54:02
0
fatinamhidini8
DAUGHTER OF GOD 💞 :
ILA BIBLIA....,🤣🤣
2026-10-10 02:33:51
0
beatrice.3808
⋆ ˚。⋆୨✨ Beatrice ✨୧⋆ ˚。⋆ :
@EXTRA_ORDINARY_TZ 🇹🇿🇹🇿
2026-10-10 01:27:01
0
kisura1985
kisuraG/P :
Hilo ndilo swali muhimu sana, na wengi hulikosea hapo. Neno *"afanye apendavyo"* katika mstari wa 36 *HAIMAANISHI* kufanya mapenzi na mchumba kisha umuoe. Maana yake Paulo aliandika kwa lugha ya Kiyunani ni hii: > Kama mwanaume aliyechumbia binti bikira anaona hamu yake inamshinda na hawezi kujizuia tena, na anahisi akimchelewesha kumwoa anamkosea haki, basi *afanye alichokusudia tangu mwanzo - NAYO NI KUOA.* Hapo hatendi dhambi. Kwa hiyo "afanye apendavyo" = *AOE*. Sababu 3 za kuielewa hivyo: *1. Uchumba wakati wa Paulo ulikuwa kama ndoa.* Ukiyavunja ulihesabiwa kama talaka. Kwa hiyo kumwoa mchumba wako ilikuwa ni kutimiza ahadi ya ndoa, sio kujaribu kwanza. *2. Paulo yeye mwenyewe anasema uzinzi ni dhambi.* Haiwezekani katika mstari mmoja akataze uzinzi, alafu katika mstari unaofuata airuhusu. 1 Wakorintho 6:18 anasema "Ikimbieni zinaa". Na 7:2 anasema "kila mtu na awe na mke wake mwenyewe" - yaani suluhisho la tamaa ni NDOA, sio tendo la kabla ya ndoa. *3. Maneno "hatendi dhambi" yanahusu ndoa yenyewe.* Paulo anawafariji vijana: "Msione kama kuoa mchumba wenu ni dhambi kwa sababu mlitamani kubaki wasiooa kwa ajili ya huduma. Kuoa si dhambi, ni jambo jema." Kwa kifupi: - Ukiwa na mchumba na unashindwa kujizuia, Biblia haikuruhusu kulala naye kwanza. - Inakuruhusu *kuharakisha ndoa* badala ya kuendelea kuwaka tamaa na hatimaye kuanguka katika dhambi. Ndiyo maana mstari wa 36 katika Biblia ya Kiswahili cha kisasa [BHN] umeandikwa wazi zaidi: > "Kama mtu anaona kwamba hatomfanyia haki mchumba wake na hamu yake inamshinda, na wanaamua kuoana, na afanye hivyo, si dhambi, waoane." Una mchumba sasa hivi na ndio maana unauliza?
2026-10-09 23:44:51
4
To see more videos from user @gb_steve, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About