@kanikibrown: Fatuma Rashid amezungumza na waandishi ws habari kufuatia tukio la Mwanamke mmoja aliyefahamika kama Shukran Amos Riziki kuuawa na mume wake mailimbili jijini Dodoma Amepaza sauti yake kwa jeshi la Polisi Nchini Tanzania kufuatia matukio yanayojirudia katika Mtaa huo wa mailimbili jijini Dodoma 📝Mwandishi @kaniki_brown #kanikibrown #WeweNiFamilia #ripotawahabarizamikoani
walio tajwa wote nmesoma nao wametupola saana ela zetu za kacholi shulen chinangali primary uwiii
2026-10-09 17:27:41
61
diah_tz15 :
Kuna ktu unakitafuta mama angu 🥺SIPO NA CJAKUWEPO ✋
2026-10-09 17:31:41
24
zagaroo kibondo Tz :
dodoma hakuna polis wanajua kukamata boda boda tu na wauza mkaa badala wadili na usalama inakela sana kwanini mtu uishi kwa wasi wasi wakati polic wanalipwa mishahala kupitia Kodi zetu inauma sana 😓😭😭😭
2026-10-09 21:31:48
16
Shani iwvata :
Mungu wangu mama unamwanasheria uwii mi naogopa
2026-10-09 17:09:19
27
@Shuu55267💞🙏 :
Mama asha acha bc watakufata mama una mwanasheria wakusaidia mama jmn😭😭😭😭
2026-10-09 18:10:20
22
Its Tifah🌸 :
Ila Mail mbili kwa mchumia juan 🙌🏾💔
2026-10-09 19:13:38
16
mafikizolo :
mimi ndiyo mume wa Asha sasa😬😬
2026-10-09 18:56:53
12
Juma Msati :
mwandishi uwe unaficha sura za watu unao waoji ili kuwalinda pls
2026-10-09 17:35:56
17
Baby alya :
Me kwanzia leo sijazaliwa mailimbili
2026-10-09 21:46:10
4
user7142385399449rukiakabula :
bola nimehama Niko mbali
2026-10-09 21:27:20
2
Zaituni Kelvin :
Jasiri sana uyumama ajataka kujificha
2026-10-09 21:48:49
5
Ngonyani-plumber :
police wana kaz za kufatikia coment zetu kukamata waalifu wa mitandaoni yani hiii nchi ya ovyo Sana
2026-10-10 00:31:22
5
MAMA USAFI :
mama asha shoga yangu hongera kwa ujasiri
2026-10-09 18:24:37
6
Meyasa David :
ahsantee mama asha maana tukio tulikuwa hutujui dodoma sehemu gani?
2026-10-09 18:28:53
6
Mumy G :
Mh dodoma tena 🥺
2026-10-09 17:15:02
7
bbhu :
Kuna maisha aisee ex Rey elf 20 imeshndkana na ni mjini hapo... Pesa jamani mitaaan hamna mzunguko na kuna watu huko majuu wanachezea☺️☺️
2026-10-09 18:32:48
6
Kipeyao :
Maili mbili,kwa mwatano na chang'ombe siwezi kukaa kabisa,japo chang'ombe extation na kule nguzo mbili ni kuzuri sana wageni wame jenga nyumba za adabu
2026-10-09 17:55:33
5
Mimah Harith :
na Emma Msukuma umemsahau yan wanakera vijana wa Dodoma, me mwenyewe nimenusurika kubakwa.
2026-10-10 04:23:47
1
eliya sebastian :
ileoiooo
2026-10-09 21:34:41
2
26👑 :
kulwa nipo hapa
2026-10-09 20:05:42
3
YA AMALI 🌸 :
Namuonea huruma huyu Mama
2026-10-09 20:22:50
2
Phatreyz Humphreyz :
Embu tuwataje vibaka wote polisi watusaidie 🙏🙏🙏🙏
2026-10-09 19:47:00
2
LEO GIRL :
Naomba mnichukue
2026-10-09 18:39:07
2
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm
homepage.