Utaenda kuwaambia had wenzio sisi leo tumepika wali😂😂😂
2026-10-10 05:59:47
1
faith marijan :
😂😂😂😂gen z wamepata raha sana et huyu wa kwangu nymbn hali wal kbsa😂😂😂😂nachoka mm
2026-10-10 09:12:48
1
phiyner :
aseee umenikumbusha mbali mnooo😂
2026-10-10 06:39:58
1
Shuuley :
na tulikuwaga tunaoga saa kumi na mbili jioni nikishiba wali maharage sinawi mpka nifike kwa jirani
2026-10-10 05:28:54
1
jr feisal :
😂😂😂😂 nilikuwa naumwa hakuna kucheza mbali na jiko ni mwendo wa kutia huruma
2026-10-10 06:27:41
1
muscat jr :
2026-10-09 20:37:14
2
Hellen waziri🥰 :
2026-10-09 19:50:36
1
miranmumy :
nakumbuka enzi hizo nyumbani wali ukipikwa kwanza haubaki eti sasa iv unabaki unanywea chai asubuhi😂😂
2026-10-09 21:06:01
1
Dahuaaa1234 :
Siamini ninachokipitia ukipika wali mwingi kwa nyumba wazurula mpaka wachacha kweli yaani watoto sikuizi hawali viporo asante mungu
2026-10-10 02:47:17
1
magneypaul :
kijiji kizima kitajua leo kwetu tumepika waliii[Pray][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-10 07:53:50
0
Hellen waziri🥰 :
2026-10-10 10:37:56
1
Hellen waziri🥰 :
2026-10-09 19:50:15
0
@cute :
sisi tulikuwa tunagombania hadi ukoko na wakubwa kila mtu utasikia sufuria langu hilo🤣🤣
2026-10-09 20:47:21
1
biao :
hapo nipo chuo miaka hyo wali maharage mzeee acha siku hyo unaoga kabisa
2026-10-10 07:14:42
1
Africa Hopoe💗 :
kwanza apo na unaanza je kusinzia usku,nilikua na mdgo angu anampenda kulala mapema,siku wali uwe umeandaliwa dhubutu Yako hawezi sinzia ata umlazimishe ajee[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-10 08:39:23
1
Waziri Mussa :
Enzi hizo tunakula kumaliza sio kushiba, mpaka ukoko
2026-10-10 07:19:54
1
Riziki Mlawa :
tulikuwa tukipakua mama hayupo tunaitwa wezi tunatishiwa kukatwa mikono
2026-10-09 21:04:01
1
Hellen waziri🥰 :
😂😂😂😂kwanza kuoga ni mapema hatari pia hakuna kunawa mikono mtaa mzima watajuwa kama umekula wali utasikia patia tumekula nini nyumbn kwetu mkono puani tu kwa wenzio ili wanuse,
2026-10-09 18:24:35
3
❤️Nazmina🦋🦋 :
Nikikumbuka niliingia kwenye sufulia la maharage nikaungua matako nashangaa wanashibaje ety😂😂
2026-10-09 20:55:15
1
R square🫣 :
unakula mpaka usikie huwezi hema vizuri 🤣😂🤣
2026-10-09 18:20:06
3
hafsaty khamis :
kwanza cku iyo huendi kuchecheza na wenzako
2026-10-09 20:05:49
2
Mrs Dee❣️ :
mi nlkuwaga nafurahi unarudi shule ndo unakuta kimepaliwa pale na harage linapumua ndanii😂😂😂
2026-10-09 18:46:35
2
sila festo🥰 :
mi nilikua lazima nitende dhambi ya kuvimbilwa😂
2026-10-10 09:22:50
0
Official Emmy🍎🦋 :
Eeeh Yan hapo kweny kuoga mapema pila kushurutishwa unatulia seblen🙌
2026-10-09 19:26:50
0
To see more videos from user @afrolixy, please go to the Tikwm
homepage.