@hubofwisdom.inc: "Usiwe msaada wa kwa wengine huku wewe mwenyewe ukizama." Ni kweli, ndugu wanakutegemea, familia inahitaji msaada wako, na kuna watu wanaamini wewe ndiye tumaini lao. Lakini kama bado upo kwenye hatua ya kupambana ili ujisimamie, pambana kwanza ujenge uwezo wa kusimama imara, ndipo uwainue wengine. Kujipanga si ubinafsi, ni maandalizi ya kuwa msaada wenye nguvu zaidi. Jenga kipato chako, imarisha akili yako, simamia maisha yako, na tengeneza msingi imara. Kwa sababu ukweli ni huu: Ukiwasaidia watu kwa kile ulicho nacho leo bila kujijenga, unaweza kuishia kuhitaji msaada kwa wale wale uliokuwa unawasaidia. Sio kwa sababu huwapendi, bali kwa sababu hutaki nyote muanguke. #Thewisetz #FridaAmani #Maisha #Kujijenga
hubofwisdom.inc
Region: TZ
Friday 09 October 2026 17:03:37 GMT
Music
Download
Comments
dady monga :
2026-10-10 04:24:49
0
samyrah collection 🛍👠😍 :
💯💯
2026-10-09 20:04:12
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.