@sayyed.og.com: Beti hii inapatikana katika dua ya JALJALUUTI.sifa kubwa ya beti hii nikuonesha vitu visivyo onekana kwa macho yakawaida. Mfano, mchawi,mwizi na maadui zako mbali. NAMNA YA KUFANYA: Kama unataka kumuona mchawi au mwizi aliekuibia au maadui zako, isome betii hii mara 21 muda wakulala usiku ukiwa twahara kimavazi na kimwili, yaani ukiwa umetia udhu. Baada ya kumaliza kusoma utatia niya yako unataka kuoneshwa nini katika usingizi wako. Baada ya hapo utalala. Kwahakia mwenyezimungu atakuonesha jambo lako ulilotaka kuliona usiku huo. CHAKUZINGATIA: Kama unataka kumuona mchawi usiku hakikisha unaroho ngumu sana napia mwili wako uwe nakinga yakutosha ili yule mchawi uliemuona asije kukufanyia madhara madae. Hii beti ni mujarrabu sana kwa uwezo wa mwenyezimungu.inshallah
hebu tunaomba dua ya kusafiri namaanisha bila ya usafiri, mtu umepata dharura ima umefiwa na,uko mbali huna pesa , na unataka kwenda , hapo ndo naomba ufundishe kitu cha kufanya sheikh wangu
2026-10-10 11:26:42
1
ℝ𝔸𝕀𝕐𝔼★╠♥︎ :
2026-10-10 10:47:48
2
GYD JR :
🤲
2026-10-09 19:45:07
2
Mtu MAKINI Tz :
🔥🔥
2026-10-10 05:44:36
1
jamesbond :
♥️♥️♥️
2026-10-09 18:47:09
1
To see more videos from user @sayyed.og.com, please go to the Tikwm
homepage.