@islamicswahilinet: Makosa Matatu ya Maamuma Nyuma ya Imamu Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Friday 09 October 2026 17:10:55 GMT
Music
Download
Comments
user1212418162288 :
shukrani
2026-10-10 08:54:29
0
mwadunje 🇦🇪 🇹🇿 :
Na vipi mtu kuachia mikono yake wakati imamu baada ya kosoma suratul fatiha akasoma sura nyengine mwisho wa hiyo sura kabla imamu haja piga takbira ya rukuhu maamuma aka akafungua mikono yake kwenye kifua hii inakuaje?
2026-10-10 07:52:39
0
IPO SIKU :
Masha'ALLAH
2026-10-10 10:39:50
0
Hussein :
Assalamualaykum samahani shekhe wangu tunaambiwa kwenye sijda ndio wakati mzuri sana wa kujibiwa ulicho muomba allah yani dua yako unayoomba kwenye sijda inajibiwa haraka je itakuaje swala yangu imeharibika au haifai kuomba kwenye sijda.
2026-10-10 06:42:24
0
hassan :
maashaa allah
2026-10-09 17:54:58
0
Brian Rashid :
Ameen
2026-10-09 17:16:11
0
Mtp✊ :
shukrani
2026-10-09 20:00:04
0
RAMS :
🥰🥰🥰
2026-10-09 18:22:01
0
fatmakudra :
🥰🥰🥰
2026-10-09 17:20:03
0
D&R THE GAMERS 🎮 :
🥰🥰🥰
2026-10-09 18:42:02
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.