@davebyutibyutii: TUNAPENDA SANA KUONA MKILIA 😂 LIENII babaaa lienii 😂😂 #davebyutibyutii #azamsports1hd #azamtv #yangasc #yanga #simbasc #simbasctanzania #kariakooderby #nbcpremierleague #nbcpl

CRIMSON Ft. YANGA SC
CRIMSON Ft. YANGA SC
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 17:29:01 GMT
46102
1970
108
49

Music

Download

Comments

future.boy298
Future boy :
i love you simba
2026-10-10 13:55:45
1
gervaswilliam
Jerry :
A few moments
2026-10-11 18:06:44
0
stamphord2
Justin stamphord :
bado leo tareh 10 october 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-10 12:55:33
0
festusmwakifuna
festusmwakifuna :
Dah inauma sana mara sita mfululizo
2026-10-10 03:46:00
9
quen.yanga
quen.yanga :
hii ndo raha yangu😂😂😂😂
2026-10-09 21:43:49
2
ahmedy_sharja
ahmedy seif :
Hii sasa ndo furaha yangu
2026-10-09 23:08:34
5
abou_abou2024
abou_abou :
Mbna picha zimeanza kuvuja mapema
2026-10-09 22:23:51
5
batoul_moo
batoul moo :
na sie tumelia sna 🤣
2026-10-10 05:15:49
2
jacksonabdy348
Jackson Abdy :
usisahau kuongezea clip za leo tena😂😂😂
2026-10-10 07:41:46
2
kingkingizzy
young ally :
Leooooooo iyooooooo
2026-10-10 06:10:15
2
user81369229374238
user81369229374238 kasiaka851@ :
ni husuni kweli kweli 🤔🤔
2026-10-09 23:46:11
1
mawazo.dionizi
Mawazo Dionizi :
naxhindwa kuelew 😁😁😁
2026-10-09 18:49:58
2
user81722928068576
Sitta kazinza :
furaha angu nikuona simba anawekwa kila mala
2026-10-09 19:10:58
4
user8118132368519philipo
philipo yohana :
hi meme goja niishi nayo tukutane tarehe 10
2026-10-10 03:43:29
2
frankjay118
FrankJay :
Noma sana aiseeee
2026-10-10 06:09:07
1
falaja867
falaja :
poleni sana kwa presha tulio ipata nilikua saluni goli la yanga nikakuta wote wamenyanyuka kushangilia nilivo kaa kimya wakaaza nizomea ikabidi nikimbie kwa haibu lakini namushukulu mungu simba wakaja yafuta machozi na huzuni zetu ascate mungu
2026-10-11 09:21:34
1
mapipi.jr5
Mapipi jr :
dah hii clip yan imenifa nimejikuta nauzunika sana pamoja nakupata ushindi wa leo ila tumepitia kpnd kgm sana simba , naipenda timu yangu
2026-10-10 21:34:28
3
johnigoti771
johnigoti771 :
jamani leo tarehe 10 tunawachia mshinde mnatia huruma sana i love yanga💚💛💚💛😂😂😂
2026-10-10 10:03:58
1
fatuma.mohamed681
Fatuma Mohamed :
Jamali timu yangu Simba mtatuua kwa presha
2026-10-10 21:52:17
1
avila.mickson
avila mickson :
tumeumia sana jamani acha na wao waonje maumivu tu
2026-10-11 15:21:31
0
11sheiz
sheiz11 :
it's long story kwakweli sisi na jihani tunafanana ,kama alivyo shindwa 2016 lakini 10/10/2026 imekuwa furaha kwa wote hii ndio maana ya wakati wa Mungu ni sahii nguvu Moja simbaa❤️❤️❤️
2026-10-11 19:11:28
0
filbertseko
filbertseko :
simba nguvu moja
2026-10-11 16:31:11
0
mziba.og45
mziba og45 :
yusufu mwiri anaomna dua cmba ishinde tazamavizir tuu
2026-10-11 18:31:01
0
preciousreykiss
Rey kiss :
hiyo Leo hiyooo
2026-10-10 08:49:57
3
lucy573383
miss kapungu :
Dah nlilia sana walivo2funga aki😭😭😭 mwixho nkalia kwafuraha wallah
2026-10-11 11:53:02
0
To see more videos from user @davebyutibyutii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About