@097893ez:

Ezéchias kimbesa
Ezéchias kimbesa
Open In TikTok:
Region: CD
Friday 09 October 2026 17:53:58 GMT
1713
88
20
3

Music

Download

Comments

pasteur.onesime6
Pasteur Onesime :
Biblia inasema nini kuhusu msalaba? 1 Wakorintho 1:18: Msalaba ni ujumbe wa nguvu ya Mungu kwa wale wanaookolewa. Wagalatia 3:13: Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kufanyika laana kwa ajili yetu. Yohana 19:30: Yesu alisema, “Imekwisha,” akionyesha kukamilika kwa kazi yake ya ukombozi. Msalaba kwenye kaburi si laana kwa sababu tu umewekwa hapo. Unaweza kuwa ishara ya imani ya Kikristo au kumbukumbu ya marehemu. Lakini hauwezi kuchukua nafasi ya Yesu Kristo, ambaye ndiye tumaini la ufufuo na uzima wa milele (Yohana 11:25).
2026-10-10 15:45:23
1
elie7191
elie :
niwawapi
2026-10-09 18:41:56
0
augy745
moise zambaza :
nivawapi kweli ao
2026-10-10 15:28:44
0
user3404139369171
dorcas :
kaka ezekias dunia inafika mwisho🙌🙌
2026-10-11 08:40:12
0
user2079817558336
Jonathan :
vale ni va adventiste kabisa siamini kaka
2026-10-11 08:54:45
0
louangembakaniaki
Louange Mbakaniaki :
haiko badive bale tanguzamani habatiyake musalaba
2026-10-11 09:53:16
0
user7746368102865
diela kimanga :
mbona banatupatisha haya vadi
2026-10-09 21:29:18
0
tsiyumatsiyuma
✌️TSIYUMA✌️ :
weni mu puuzi kabisa una ongea matope tupu nyangau!
2026-10-10 03:00:09
0
user265293291812
darling :
kweli kaka unaunga mukono batemois de yehova
2026-10-10 16:54:59
0
giftladis1
Gift Ladis :
ubarikiwe saana ndugu
2026-10-10 10:18:18
0
alvince.tsongo.mu
Ev FOR-DI Tsongo Alvince :
munasema mingi sana. tena waongo
2026-10-09 20:26:52
1
jonas.ndeveka
JONAS NDEVEKA :
piya biblia ina sema usi hukumu wewe ni nani Ili u hukumu wengine????
2026-10-10 02:06:06
0
cantineobrge
kavira balikwisha miriam :
duniya imefika mwisho wanatu zaraulisha viongozi wakanisa lawa sabato wa angaliye kiaku faa wasabato munataka poteya murekebeshe sisi wa sabato hatu ru usiwe kutiya msalaba
2026-10-11 04:46:32
0
user3137226182713
Isaac autruche :
bongo yako hooo
2026-10-09 21:18:02
0
user1436145010537
Rachel 🌹🌹 :
bale haiko akose badive akose
2026-10-11 11:43:02
0
To see more videos from user @097893ez, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About