nafkiri watuwema wanateseka kwasababu wanapita katika njia aliyopita bwanayesu kristo,alikua mwema asiekua na dhambi lakin mungu alimtuma duniani atewe kwaajili ya wadhambi waliowengi,lakini pia mungu anatumia watuwema kuteseka ili kuokoa roho za wasio wema wanaokubali kujifunza kwa vielelezo na kubadilika
2026-10-09 22:01:34
0
To see more videos from user @jonathanshayo, please go to the Tikwm
homepage.