@lizydagaa: Neno la Mungu linasema “Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wafanya kazi bure; Bwana asipoulinda mji, yeye aulindaye akesha bure.” — Zaburi 127:1 🙏🏽✨ Bwana, tawala kila kitu kinachonihusu. Jenga ndoto zangu, bariki mipango yangu, linda familia yangu na uniongoze katika kila hatua. Maana najua bila Wewe, juhudi zangu ni bure. ❤️🕊️ Mungu awe wa kwanza katika kila jambo, na mapenzi yake yatimizwe katika maisha 🙏🏽❤️ #Zaburi127 #MunguMbele #MaishaYaMaombi #Imani #LizyDagaaTZ