kumbe ipo ivo mimi nilikuwa nanuiiya jalaba na hedhi
2026-10-10 09:03:25
8
BI WARDA :
sasa swali hiyo janamba inatoka wapi wakati upo kwenye hedhi?
2026-10-10 10:07:26
3
user Mukhutasdi. 89 :
asant nimelijua Hilo shekhe
2026-10-10 05:24:22
3
Champion Zulfa macho kankara :
Sasa me bado kitu kimoja apo sijaelewa shekhe maana atutakiwi kubaki na janaba kwa kipindi cha siku hizo zote za hedhi ! Sasa nataka kujua nitaoga janaba kabla sijamaliza hedhi? Au nisubiri mpaka nmalize siku za hedhi kwanza Kisha ndo nioge kwa kunuwia kimoja hapo Kati ya hedhi au janaba Kama ulivyosema??? Tafadhali Kama kunayeyote anieleweshe
2026-10-10 04:22:38
4
Rajah ❤️🥰💦💧 :
Aksante
2026-10-10 03:03:27
1
melanin✨️ :
mi nanuia kwa vyote thn naoga
2026-10-10 13:58:29
1
Ummy Salama :
asant kwa elimu
2026-10-10 06:04:00
1
ANISHA OMARY :
baba samahani naomba unisaidie mimi Nina mchumba mkilsto mi ni muhislm ndugu awataki niludi Yani kubadili dini wamekataa nayeye ataki kuludi kwangu Sasa nifanyaje nisaidie
2026-10-11 17:28:10
0
user3703036985666 :
mashaallah umetufunza
2026-10-10 03:18:47
1
H.💝. MP :
KWAHIYO akikutana na mumewe usiku asubuhi akaingia hedhi akae na janaba mpaka hedhi imalizike ndipo aoge sasa si ndivyo
2026-10-11 15:47:04
0
angel🦋 :
mashallah kumbe nafanya ndivo kila cku nilijuwa nakosea
2026-10-10 11:48:00
1
cute ray :
asante sheikh kwani kutujuza
2026-10-10 07:02:07
1
Rahma@ :
ahsante sana shekhe🥰
2026-10-10 13:10:00
1
bf skinner :
mashallah, nlikuwa sjui
2026-10-09 23:32:21
1
mailah123 :
twayyib
2026-10-10 04:02:54
0
aisha othumani :
asanty sana
2026-10-12 22:46:31
0
ℕ𝔸𝕊ℍ𝕃𝕐 𝔹𝔼𝔹𝕐🥰🥰 :
𝕤𝕙𝕦𝕜𝕣𝕒𝕟 𝕤𝕒𝕟𝕒[Red heart]
2026-10-12 10:21:22
0
hasna mwagize :
ansante kwakunielimisha mungu akulupe
2026-10-12 09:43:50
0
MAMA FAY :
mashaallah 🥰
2026-10-12 19:30:44
0
esha namajii :
mm huwa vinakutanaga sana ivi vitu
2026-10-12 05:37:26
0
user1507167987160 :
mashallah
2026-10-11 21:17:25
0
mulhat mom🥰🥰 :
mashaallah 🙏🙏🙏
2026-10-10 06:03:15
0
To see more videos from user @singomediatz, please go to the Tikwm
homepage.