@pmpstudiotz2: Kaswida Ya kihaya, wakitoa ujumbe nzuri kwaajili ya maharusi. kikundi Kagera si Mpaka. Ruhanga-Muleba Karibu kwa huduma Bora za Shuting za Harusi yako,Sendoff n.k
PMP STUDIOTZ
Region: TZ
Friday 09 October 2026 18:10:50 GMT
Music
Download
Comments
Elivira Atulinda simon :
ivi kwenye harus za kikristu wanaweza kuja ,nimependa ujumbe🥰
2026-10-10 06:03:36
4
matungwa :
hawwez kumzid @madrasat Nnuurayn kanaz
2026-10-10 12:26:03
1
Hudhayfa Abdul :
.ashallah
2026-10-10 07:06:56
0
kyomaSN :
madhimaaaaa
2026-10-09 21:18:18
0
aarongozbert :
mwakolaaaaa [Heartwarming]
2026-10-10 03:24:07
1
Frank Ishengoma :
nawaelewa sana aisee
2026-10-10 04:01:03
6
Sule boy92 :
manshaallha mpka nimetoa machozi asante kwa ujumbe huuu
2026-10-10 03:30:51
3
Fatma Zaidi681 :
mambo niyapendayo🥰
2026-10-10 08:25:58
2
minna :
hiiizi dufu nazipendaga jmn
2026-10-10 09:33:26
2
Laura's daughter :
nawapenda saana name natak kuunda kikundi nambie nafanyej
2026-10-10 05:13:41
1
Aslanny♥️ :
mwanuza
2026-10-09 19:30:02
3
@neth💕💕 :
mwashemezaaaa🥰🥰🥰
2026-10-10 05:03:30
2
jide :
naomba namba zao
2026-10-10 04:56:23
1
FADHILA :
Asante sana jamani
2026-10-10 04:04:41
1
Mrs salim last born :
mwakola waitu
2026-10-09 20:28:27
2
Elly♥️♥️ :
mwakola
2026-10-09 22:16:36
1
official_katatumba😎 :
katika kitu napenda nakitakacho nifanya nioe mapema nihawa napenda sana nikiwaga bukoba
2026-10-09 21:45:40
2
Happyness Laurean :
mdogo wangu hongera sana
2026-10-09 18:25:02
2
Josephine Jones lucas :
waoooo nimemuona huyo baba anaeimba ni product of marahalaaa muleba kwetu nikiwa kigoma nimewapata vyemaaa
2026-10-10 11:22:38
1
user3796806551755 :
mwakola waitu
2026-10-09 18:32:14
1
vivian :
nawapenda sana 🫂💓 me
2026-10-09 21:26:34
1
tozzy msela :
wanyijukya ala bojo🥰🥰
2026-10-09 21:15:26
1
crianussyliacus :
2026-10-09 21:12:03
1
taslima'sfamily :
Enzi zetu hatukuwah I kuwa na mpinzani
2026-10-10 13:50:42
0
ŠĤĂMŚ 🎤 :
mashallah🥰
2026-10-10 14:05:19
0
To see more videos from user @pmpstudiotz2, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.