DAVI tunaokuelewa ni Wachache Walete katiiiiiiiiii BaBa
2026-10-11 06:33:28
1
Chief Maganga :
Mimi saiv nimechukiwa hadi na kiongozi wa Kanisa (Mtume) kisa tu skuizi siendi kusali coz sijafaidika chochote kwenye hii kitu inaitwa Dini ntangu nianze kusali
2026-10-10 12:16:32
3
MAKUYUNI FINEST :
IPM anakuja alafu anakataa kuja🔥🔥🔥
2026-10-10 00:28:17
4
benidicto Mikindo :
nakubali brooo umenyooka sana aisee👍
2026-10-09 18:23:02
1
kidula :
nakubali kaka uwe na maisha marefu
2026-10-09 18:49:26
2
chikoti :
dini zime brainwash watu wengi sana ni utumwa wa fikra
2026-10-09 18:48:11
3
꧁𓊈𒆜 FΛSΣLY 𒆜𓊉꧂ :
Big up Sanaa
2026-10-10 07:01:19
1
@daduke :
nakukubali kiongozi sana
2026-10-10 09:51:30
1
kasongo kusova :
me ndo nakuelewa zaidi
2026-10-10 16:56:17
1
Samwel Deus :
udumu miaka 1000 unawasanua sn mwamba wachane wataelewa tu davi🤝🤝🤝
2026-10-10 10:48:31
1
organ :
sambamba kaka hadi kieleweke[Power][Power]
2026-10-09 20:43:40
2
NO.NAME.27🚬 :
kaka skupingi sana💪
2026-10-09 19:49:51
1
Jognas Mnyela :
kuna muda ananyoosha sana maelekezo kaka😁
2026-10-09 19:51:10
1
Mr Africahistory :
Hali ya Gen z na dini hali ni ......
2026-10-11 08:50:47
0
shedrack adventure safari :
fact
2026-10-10 18:58:03
0
Jimmy-Tz :
💎 💯 🔥
2026-10-10 17:22:17
0
Mlela :
true
2026-10-10 14:58:42
0
Bennie✬ ꙰ :
nimebahatika kuajiriwa mwka huu niko na miaka 23 siku ya kwanza naenda kanisani huku nilipopangiwa kazi walifurahi sana waumini na hasa wachungaji kuwa wamepata jembe kanisani lenye ajira ya kudumu☺️☺️sikuelewa baada ya wiki mbili nikapokea barua ya mchango wa watumishi wa serikali kuchangia elfu 50 kwaajili ya ujenzi wa nyumba ya mchungaji🤔🤔 pia mchango wa sh elfu30 kwaajili ya kuwalisha waumini kwajili ya makambi daaah nikajikuta tu nachukia nikaacha kwenda hadi leo....mwishoni nikakutana na huyu mwamba DAVI🙌🙌🙌 naishi kwa uhuru sana thanks bro content zako nafatilia sana na nazielewa👊👊
2026-10-11 11:32:11
0
Ali Rwango :
Kweli kaka
2026-10-11 09:04:48
1
CHEMY :
uyu jam namuelewa San
2026-10-11 08:08:55
1
Joseph Kivolile :
kiufupi nakupata kaka davi
2026-10-10 18:32:40
0
mwaisumbe1 :
nakubali kaka
2026-10-09 18:17:57
0
To see more videos from user @__davi1_, please go to the Tikwm
homepage.