@islamicswahilinet: Hadithi Muhimu Ambayo Kila Muislamu Anatakiwa Aihifadhi Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 18:26:43 GMT
28780
4115
49
262

Music

Download

Comments

villain.zoom
villain zoom$ :
[Heartwarming]Allah akbar
2026-10-09 19:17:32
8
itajipa.tu
Itajipa Tu :
inshaAllah I will do🥰
2026-10-10 01:36:14
5
amina.kazigo
Amina Kazigo :
WAISLAM WENZANG TUSIACHE SWALA
2026-10-10 06:22:18
9
rukssie
Rukssie :
S.A.W❤️❤️❤️
2026-10-09 22:51:30
5
maugado__45
Mau Gado :
ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR
2026-10-09 20:37:43
11
user85965094272456
user85965094272456 :
w🥰🥰s🥰
2026-10-10 02:31:44
3
maryam.said920
maryam said :
Allah Akbar Alhamdullilah
2026-10-09 20:22:04
7
pinkhijaby1
Pink~hijaby ❤️🍁 :
Nyie mungu anajibu 🥺🥰
2026-10-10 03:08:26
5
alimwamajeni139
Ali H3 :
Allahumma baariq Sheikh yani hii hadithi ndio ilikua khutbah ya jana msikitini na saii naipata hapa, Allahu akbar.
2026-10-10 02:46:02
5
lion.jungle8
lion jungle :
Alhamndulillah
2026-10-09 21:21:46
4
islamiccommunity_02
Allahu Akbar ☝️ :
Allahu Akbar ☝🏿
2026-10-10 03:41:55
3
othmanwamsoloni
OSMARN :
tawhid
2026-10-10 05:32:44
1
_mishely0
Mishi :
jazakallah
2026-10-09 19:56:22
4
asaadsaad34
Asaad :
Alhamdullilah
2026-10-10 00:00:20
3
the.fodo
The Fodo :
ALLAH AKBAR
2026-10-09 23:22:04
6
visit_zanzibar
visit-zanzibar :
2026-10-09 22:17:46
3
salmamustapha79
SALMA💘 :
🥰🥰 allh
2026-10-09 19:11:46
4
islammotivation
islam motivation :
Allah akbar
2026-10-10 02:41:17
3
ahfim.lady
ahfim lady :
allahuakbar
2026-10-09 21:30:59
3
malikhassani64
Malik hassani :
masha Allah
2026-10-09 19:23:11
3
user85965094272456
user85965094272456 :
w🥰🥰s🥰
2026-10-10 02:31:44
2
allyrajabu107
Ally Rajabu :
Mashallah....🙏🙏
2026-10-10 05:26:21
0
official_jay.khan
Jay khan :
alaf Leo kuna mashekh wanasema na kuimiza kua watu wakawaombe masharifu katika makaburi yao
2026-10-10 08:07:44
0
taf_n_ahom
F❤️ :
Allahu Akbar
2026-10-10 05:34:12
0
youssoufmaslaha52
Youssouf Maslaha :
awaou akibarou
2026-10-10 07:28:43
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About