@gaditv: Mwenyekiti wa Ukoo wa Kweka anayefahamika kwa jina la Donald Kweka, amesema kuwa siku chache kabla ya kifo cha Jane Urassa, kijana wao ambaye anadaiwa kuhusika kusababisha kifo hicho, alitoa taarifa kuwa amekamilisha kujenga nyumba yake iliyopo Bunju A Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti Donald amezungumza kauli hiyo baada ya kumalizika kwa shughuli ya mazishi ya mwili wa Jane Urassa, katika Kata ya Machame Mashariki wilaya hai mkoani Kilimanjaro Ikumbukwe kuwa Ukoo wa Urassa uliiambia GADI TV kuwa, mwanaume anayedaiwa kusababisha tukio hilo alitaka jina lake liingizwe kwenye hati ya mkewe, ili nyumba hiyo iuzwe na waende kujenga nyumba mpya kwenye eneo alilonunua mwanaume.
GADI TV
Region: TZ
Friday 09 October 2026 18:28:30 GMT
Music
Download
Comments
katunzi :
hakuna nyumba ya mtoto somen sheria...
2026-10-09 19:47:32
22
zombie :
mzee ana busara sana
2026-10-09 18:54:45
318
Melisiana :
hakuna mali za watoto jamani mali ni zenu nyie mliotafuta hamjui sheria
2026-10-10 03:41:15
51
Loryn__ :
Ila wachagga muda wote wanaongelea mali woi
2026-10-10 05:48:17
10
Glory Mamkwe :
Sasa Mbona alikwambia ule ujenzi wake na badala yakusema ule ujenzi wetu
2026-10-09 19:12:10
46
@BINFISI 2 :
Wisdom is detected in you. IN MARRIAGE We are one family
2026-10-10 04:20:06
2
🖤G MONEY🤍 :
watot watakuw na kumbukumbu mbaya sana ya kifo cha mamayao yn ety mama aliuliw na baba asee very Sad😓😓
2026-10-10 01:34:39
23
@Itselara🧡 :
Notice how amesema watapambana watoto wafike kule mama yao afike
2026-10-09 19:08:00
61
Mesko Msigwa :
pointi mzeee 🙏🙏🙏
2026-10-10 05:28:04
0
Ntakisigaye :
wanaume tuko upande wa Kweka
2026-10-09 21:24:04
56
kidile :
nyumba yangu unasema ya watoto kweka samahan sema nyumba yangu na mke wangu
2026-10-10 06:37:19
5
blessing ndondela :
no comment
2026-10-10 05:28:56
0
@Aggie _24 :
Mzee ana busara Mungu amuweke
2026-10-09 19:19:39
38
kavishe_mobile_tech-📱📲 :
ukoo una mwenyekiti
2026-10-09 19:55:00
11
Maghesa Maghesa :
point mzeeh
2026-10-09 18:58:14
22
kilian george :
Mzee safi unaongea ukweli sana
2026-10-09 19:08:10
19
official_letique :
wanawake tamaaaaaaa
2026-10-09 19:39:58
5
Malaika👑❤️ :
Mzee kuja unioe napenda unavyo fikiria😂
2026-10-09 22:09:33
8
Nathaniake :
mbona hilitukio linaonekana kuleta migogoro ya koo mbili,,
2026-10-09 19:25:57
24
RITHA 001 STORE :
Mzee ameongea vizuri
2026-10-09 19:31:28
9
ummi fareed :
mzee anabuara nimempenda ameongea point kwakweli
2026-10-09 19:12:41
13
Emmy :
ushahidi wa ndugu lazima umtete ndugu
2026-10-09 22:40:04
5
Fatma Robson Sawaya :
kaka umeogea vizuri sana
2026-10-09 19:44:39
7
Isack’s Grnd d , :
point
2026-10-09 19:03:20
7
florahenry600 :
Familia imepata msemaji 🙌🏻
2026-10-09 19:22:50
6
To see more videos from user @gaditv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.