@aictchangombe_choir: Zoezi la kuitafuta njia aliyosema Baba Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. #aicchangombechoir #fyp #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿
AIC CHANG’OMBE CHOIR (CVC)
Region: TZ
Friday 09 October 2026 18:48:10 GMT
Music
Download
Comments
Vivian Mathias :
wasukuma oyeeèeeeee kazi ya bwana iendeleee
2026-10-10 16:30:59
0
fowake🍓🍇🍉🍍 :
kisukuma kitamu[Bow heart][Bow heart][Bow heart][Bow heart]
2026-10-09 20:55:32
1
user3168361017615 :
Ameeen 🙏❤️❤️Mungu awatunze hallelujah 🤣🤣🤣
2026-10-10 20:41:56
0
Predish :
can someone translate the song is soo nice
2026-10-10 04:01:32
0
noela daudi :
nzera yang'waseba
2026-10-10 05:16:06
0
Keriard Liquor store :
I'm so proud
2026-10-10 07:35:24
0
steven masunga :
aict kwa huu mwimbo mmetisha
2026-10-09 19:51:04
8
DIANA✨ :
utaijua lin njian ya bwana❤️🙏
2026-10-09 18:51:49
6
Goodgirl❤️ :
jaman mmoja anitafasirie maana ya gh'ambo na shitabho
2026-10-10 07:17:35
3
Grace :
Okwemana nanale enzela yang'wa sebha🥰🥰🥰🥰
2026-10-09 19:12:26
14
Elite kabuje :
nmekuwa wa kwanza kucomment ,ila sielew mnamanisha nini lugha yenu😍
2026-10-09 18:52:09
4
user7106951263328 :
Sielew chochote ila wimbo mzuri sana
2026-10-10 09:06:35
5
Toto be2 :
nymbo zenu znanibalki xna watmixh
2026-10-09 18:54:38
5
cia :
jaman huu wimbo naupataje
2026-10-10 06:03:43
3
Charles Maganga :
mpaka hapo mmeshajua wasukuma ni taifa kubwa😂😂😂🤪
2026-10-10 12:28:47
1
Om'Mageni Deo :
Ukiimba kwa lugha ya nyumbani wimbo unachoma kama pasi! Ongezeni zingine kwa Kilugha ❤️
2026-10-10 06:48:47
4
Cyter :
Jamani naombenj jina la wimbo wapendwa
2026-10-10 05:15:11
1
DaudiMatheo :
ipigwe remix ya kiswahili ili tuelewe nimependa mdundo na tone Mungu awabariki sana
2026-10-09 20:56:38
2
Maige Josephat :
Mmetisha sana watu wa Mungu
mm arikiwe
2026-10-10 05:55:32
2
SHUJAA WA YESU :
ila hapa mmetisha sana
2026-10-10 05:55:47
2
Magambo Helena :
jamani jamani nimemuona Ruthi kawezaje kisukuma
2026-10-10 14:20:34
1
Bazuu :
Hii nyimbo kuna pasta mmoja wa kisabato alikuwa anaitwa pasta Mitanda alikuwa anapenda sana kuuimba ni miaka ya 1995
2026-10-10 14:08:10
1
Chuma_Au :
jina la wimbo please!
2026-10-10 11:01:59
1
unknown :
sorry ng'hambo ndio nn?
2026-10-10 11:04:38
0
SB FASHION :
wimbo mzur sana
2026-10-10 15:15:21
0
To see more videos from user @aictchangombe_choir, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.