@jafeti2080: Hongereni sana wanafunzi wangu kidato Cha nne kwa kuhitimu. #kidinda sec tujiandae na NECTA

@Teacher.Jafeti#
@Teacher.Jafeti#
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 19:15:20 GMT
400070
28951
1496
1088

Music

Download

Comments

bbyshaa15th
@Bbycoll💙💥 :
nimemuwahi uyo wa nyuma wa mume wangu😅😅😅
2026-10-10 05:48:32
621
chrischipa1
chriss :
Huyo wa nyuma No# please nimpe zawad ya graduation
2026-10-11 12:20:31
0
sponcerjunior5
sponcer junior :
mmetish mmenikumbush enz zang
2026-10-11 13:20:58
0
user684134052273
user684134052273 :
ningekuwa mwalimu sijui kama ningetoboa😂😂😂
2026-10-10 04:27:02
262
mkenda_kids_shop_tz
Mkenda_kids_shop_tz :
Mzigo ni wa moto sana umemwagika mtaani 😂
2026-10-10 04:17:39
580
user73728667944132
G :
uyo Wa nyuma angeenda mbele yani yupo vizuri anajua kucheza 👏🌹🌹
2026-10-10 04:14:31
1118
mwanaidmwana210
mwanaidmwana210 :
tulio mwangalia wa nyuma zaid ya mar 3 kuja apa chp
2026-10-10 12:41:23
490
onlybenah
official bena :
20 mkuj
2026-10-10 13:13:09
1
elizabethtito57
Elizabeth Tito :
ila tuache wivu wa nyuma kaua kuliko wote dah [Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-10 04:42:38
1
kals.dsgnr
~Kalisa~✍️Designer :
WANAOMUANGALIA HUYU DADA WA MWISHO TUJUANE
2026-10-10 09:39:52
125
baby_deborah7
baby_deborah7 :
uyo wa nyuma mke mwenzangu wa badae🤣
2026-10-10 10:01:40
51
kevinialex01
kelvin alex... ds :
amapiano
2026-10-11 11:45:02
0
innotheboy7
INNO the Boy [email protected] :
Mabint karbuni mgombanishe Ndoa zetu na Vijana karbuni Msajili line😂😂😂
2026-10-10 11:48:04
105
judith.mwashimanga
Judith mwashimanga :
tulio Ludia kuwaangalia wawili wanyuma tujuane
2026-10-10 09:17:13
129
ester42950
ester :
uyo wa mwisho jamn katisha
2026-10-09 21:38:31
84
little.boy777
little boy77 :
huyu wa nyuma siezi ishi bila yeye🤣🤣
2026-10-10 06:29:58
73
mecky62bway3
MR.SMART ❤️‍🩹 :
Nimesha muona njoo sina haraka
2026-10-10 08:49:15
15
josephine.elisha6
Josephine Elisha :
mambo ni 🔥🔥🔥🔥
2026-10-10 13:27:19
0
gmkali0
Liz🦋❤️ :
Huyu binti wa nyuma awe dansa wa diomond 😁
2026-10-10 23:00:25
9
mishy6481
mishy ❤️ ❤️ :
Huyo wa nyuma ni wifi yangu nishamuwahi😂😂😂🥰🥰
2026-10-10 08:07:50
30
maneno.girl200
🦋it’s Lilly🦋🖤 :
Huyo wa nyuma ni Mimi Enzi zangu nipo hai😄😂🙌
2026-10-10 11:21:20
5
bilfa_tronix
BILFA TRONIX📲 :
Hizi kesi huku kwetu zinabondwa Tu 😁
2026-10-10 11:20:50
12
maryam67739
Maryam :
Imebidi niwashe data niingie comment section 😂
2026-10-10 06:45:15
12
danluckydesigner
𝐃𝐀𝐍𝐋𝐔𝐂𝐊𝐘 𝐎𝐔𝐓𝐅𝐈𝐓 :
Huyo wanyuma tutagombana wazee😂😂
2026-10-10 14:09:37
7
mrs.linah1
@linaah💜🇹🇿 :
hata huy wa puli kutoka nyuma nae n wamotoo walai na mme wangu anavopenda wanafuziii nmeishaaa🤣🤣🤣
2026-10-11 05:57:27
5
To see more videos from user @jafeti2080, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About