@nyandamasibuka7: Je mtoto wako anamiezi mingapi hajatembea au unaona ni kawaida tu#tanzaniantiktok🇹🇿 #canada #congo

Dr masibuka
Dr masibuka
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 19:45:21 GMT
2175
56
6
2

Music

Download

Comments

metronidazole.mic
petronila :
mm wang anawiki 3na anatambaaaa
2026-10-10 12:41:33
0
miss.disy
miss sanchez :
wangu n mwaka mmoja shingo haijakomaa, hakai,hasimami
2026-10-11 06:44:27
0
farhatialimohamed2
Farhati ali Mohamed :
wangu miez 7 hajatembea anatambaa tu
2026-10-11 03:34:54
0
mwanaidabdallah37
aisha said :
anamiez tisa na wiki mbili ila anatembea na ukuta chocchote atakacho shika anaondoka nacho ilatu kusimama bila kushika kitu ndy anaogopa
2026-10-10 19:58:54
0
tatu.abuu
Tatu abuu :
Anaizi 10 anasota tu
2026-10-10 16:00:35
0
To see more videos from user @nyandamasibuka7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About