Social media imetufanya tujifunze upuuz sasa najifunza kueka mafuta nikiwa marekani now niko chanika😂😂
2026-10-09 21:27:54
20
cheedmatu :
kwanini yote iwe petrol na inauzwa bei tofauti chief?
2026-10-09 20:04:16
12
Lastborn :
first one standing as PA😂😂😂
2026-10-09 20:07:00
1
fahdizo 🎱 :
Kama mfuniko unafunguka kirahisi kuibuwa mafuta si rahisi?!
2026-10-10 00:15:40
1
enzzor1 :
Hata huku kwetu bonyokwa ni hivyo hivyo kaka
2026-10-09 20:58:27
2
De only one 🧚♀️ :
kwahiyo kazi za sheli uko hamna ?
2026-10-09 20:21:53
2
Leena ling :
kwahiyo unataka kuniambia petrol huko rahisi kuliko huku bongo?????
2026-10-09 20:31:28
1
Hussein_👑 :
Uku tanzania kazi za sheli watu wanarogana wengine mpaka wanauza utu
2026-10-09 20:55:01
0
ibrahlabeehallykh :
ubora wake upoje ktk izo bei za mafuta[Pray][Pray]
2026-10-09 20:06:53
2
p willy :
kumbe Kuna petrol dizain tatu au nimesikia vibaya...?
2026-10-09 21:43:56
0
user18635142672816 :
sasa Kuna ajira kwel apo kwa vijana
2026-10-09 20:14:08
1
☆꧁Bayhaqii꧂☆ :
TZ imekuja kampun ya lake ila sheli moja ttu iliopo sasa
2026-10-09 20:13:05
1
Giddy :
Watanzania tunatakiwa kusafiri na kujifunza, shida ni viongozi wanasafiri na hawajifunzi😁Petrol zipo zaidi ya aina 4, Diesel zaidi ya aina 5…Mkisikia mtu anasema amekewa diesel chafu, sio chafu ni specifications tofauti na gari inataka😂…Japan wana standards zao na bongo wana zao
2026-10-09 22:28:14
0
🅣🅗🅔 🅞🅝🅔 :
huku kwetu petrol ni aina moja tu
2026-10-09 22:11:01
0
Yuzzo mwamba04 :
Sasa bongo na Marekani zinaingilianaje
2026-10-09 22:22:30
0
TATA BM🦅🇹🇿(Newman) :
KWA HIYO SISI TUNAUZIWA MASHUDU YA PETROL KWA BEI YA DOLA 2 HII IMENIUMA TUNAPIGWA[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-09 21:53:20
0
v :
huku kwetu zinabondwa tu😂
2026-10-09 21:28:51
0
Tai junior :
hayo ya bei tofauti yake Nini?
2026-10-09 20:09:49
0
Rupia mk :
uko pia alajiga yupo
2026-10-09 21:15:01
0
Adella Salvatory :
naomba nisaidie kaka
2026-10-09 20:11:21
1
IReCh💰 :
Na unajuaje gari hii sijui petrol sijui diesel jmn nashindww kuelewa😂😂
2026-10-09 22:19:50
0
Seer EL Kanuti :
TZ Leo ltr ni 4057, huko ni $1.75 kwa galon. Wapi bei ghari?
2026-10-09 21:17:14
0
user619259220 :
gari gan hio mkubwa
2026-10-09 21:26:40
0
Goodboy😎😎 :
kwaiyo US mafuta ni cheaper than Bongo sio😂😂😂😂
2026-10-09 21:25:27
0
€dd¥ :
Mama alituambia huko peroli lita ni dola mia nne😁
2026-10-09 20:38:32
0
To see more videos from user @utaliitz, please go to the Tikwm
homepage.