@foco.o.caminho: @Rafael Quadros #rafaelquadroscy

Foco é o caminho
Foco é o caminho
Open In TikTok:
Region: BR
Friday 09 October 2026 20:06:57 GMT
0
0
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @foco.o.caminho, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

ALIPIGWA MAWE, LAKINI ALISAMEHE 🤍 Kisa cha Taif — Soma hadi mwisho 🥺👇 Siku moja, baada ya kupoteza mke wake Khadijah na ami yake Abu Talib, Mtume Muhammad ﷺ alikuwa na huzuni kubwa sana. Makkah hawakumsikiliza. Akaamua kwenda Taif, mji wa jirani, akiwa na matumaini kuwa huko watamsikiliza. Alitembea kwa miguu, kilomita 100, kwenye jua kali. Alipofika Taif, akaenda kwa viongozi wakubwa watatu. Akawaambia kuhusu Allah. Badala ya kumsikiliza, wakamfukuza, wakamcheka, wakamtukana. Hawakuishia hapo. Walikusanya watoto na wajinga wa mji, wakawaambia wampige mawe. Mtume ﷺ akapigwa mawe, akapigwa mawe hadi viatu vyake vikajaa damu. Zaid bin Harithah, ambaye alikuwa naye, alijaribu kumlinda kwa mwili wake, naye akajeruhiwa. Akatoka Taif akiwa anatoka damu, moyo umevunjika. Akakaa chini ya mti, akainua mikono yake na akasema dua ambayo mpaka leo inatufanya tulie:
ALIPIGWA MAWE, LAKINI ALISAMEHE 🤍 Kisa cha Taif — Soma hadi mwisho 🥺👇 Siku moja, baada ya kupoteza mke wake Khadijah na ami yake Abu Talib, Mtume Muhammad ﷺ alikuwa na huzuni kubwa sana. Makkah hawakumsikiliza. Akaamua kwenda Taif, mji wa jirani, akiwa na matumaini kuwa huko watamsikiliza. Alitembea kwa miguu, kilomita 100, kwenye jua kali. Alipofika Taif, akaenda kwa viongozi wakubwa watatu. Akawaambia kuhusu Allah. Badala ya kumsikiliza, wakamfukuza, wakamcheka, wakamtukana. Hawakuishia hapo. Walikusanya watoto na wajinga wa mji, wakawaambia wampige mawe. Mtume ﷺ akapigwa mawe, akapigwa mawe hadi viatu vyake vikajaa damu. Zaid bin Harithah, ambaye alikuwa naye, alijaribu kumlinda kwa mwili wake, naye akajeruhiwa. Akatoka Taif akiwa anatoka damu, moyo umevunjika. Akakaa chini ya mti, akainua mikono yake na akasema dua ambayo mpaka leo inatufanya tulie: "Ya Allah, kwako ninalalamika udhaifu wa nguvu zangu, na ukosefu wa hila zangu, na unyonge wangu mbele ya watu..." Hapo ndipo Jibril AS akaja na Malaika wa Milima. Akamwambia: "Ya Muhammad, Allah amesikia. Ukiniruhusu, niwaangamize hawa watu wa Taif kwa kuigonga milima miwili juu yao." Sikiliza jibu la Mtume ﷺ 🥺 Hakusema "Ndio, waangamize". Alisema: "Hapana. Naweza kutumaini kuwa Allah atatoa kutoka kwenye vizazi vyao watu watakaomwabudu Allah peke yake, wasiomshirikisha na chochote." Alipigwa mawe, lakini alisamehe. Aliumia, lakini aliombea kizazi chao. Sasa jiulize wewe... Mtu amekuambia neno moja tu baya, umemblock, umemchukia, umeapa hutamsamehe tena. Mtume alipigwa mawe hadi damu, lakini alisema "Huenda watoto wao watakuwa wema." Huo ndio moyo wa Mtume wetu ﷺ. Kama umeguswa na kisa hiki, usisogeze bila kusema Sallallahu Alayhi Wasallam kwenye comment, na umtumie mtu mmoja ambaye unahitaji kumsamehe leo 🤲🏼 Follow @kizeddy🤎🕊️ kwa kisa kingine kesho 🤍 #kisa #mtume #taif #islam #swahili

About