@manuelchiza: #maggie

C.H.I.Z.A
C.H.I.Z.A
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 20:11:39 GMT
77845
1438
133
111

Music

Download

Comments

user4100592515562ocholla
JAX MAKAVEL (ocholla) :
nikichoma na nyumba yangu inakuwa Bei gan kaka?
2026-10-09 22:58:00
11
auntzuhbany
auntzuhbaby :
nikiongez cha ndoa bei gan😁
2026-10-10 14:00:13
3
khadija.maganga6
khadija maganga👌👌👌 :
Yaaan mim nachoma hadi xhule yenyew nilosoma 😂😂😂
2026-10-10 08:20:11
6
itsbadgang0
it's bad gang🤬 :
pamoja na shule yenyewe inakua shingapi tajii[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-10 10:53:24
2
user4575170213365
Official le🫆 :
we nipe million20 tuuh nachoma hadi wizara ya elimu kabis kaz kwak ss😁😁
2026-10-10 07:30:35
4
fadinamkwanda
dinaely :
laki na hamsini kaka namaliza Kona hadi alie nianzisha shule namchoma sipishani na Gali la mshahala mm
2026-10-10 17:51:25
3
mathias.junior43
DAZO TZ :
ukitangaza tutakuwa wengi we sema upo wp
2026-10-10 08:59:30
6
user237430069882
Inlahundacharles :
mbona kama umechelewa kuleta hii biashara 😅😅
2026-10-10 11:48:55
3
58mimipink
Mimi pink👛 :
Nikiongezea na vitambulisho inakuwa bei gani? nida na chakula[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-10 04:31:43
3
user8028143063763
humble girl :
nikiongea navyajeshi shingap😂
2026-10-10 05:03:23
1
saleimsureboy
Saleim Sureboy :
mi elfu 10 tu naongeza na Cha kuzaliwa ili nisahau miaka yangu
2026-10-10 06:17:16
2
lucyana880
LUUH🌸❤️🦋 :
Vya familia yngh nzima shngp
2026-10-10 07:05:51
2
ivanmniko
IVAN MNIKO :
daaa mbona iyo biashara inalipa afu uwekweli
2026-10-10 10:34:48
3
tammy45355
Trish's 🫶❤️ :
m mkiniongezea na choma na vyetu vya wazaz wangu 😂
2026-10-10 08:25:17
4
khadijamchumi
👊 :
minaweka kumbukumbu mana baada ya muda naona kutakuwa hakuna walio feli mm ndo ntakapo piga hela hapo 😂🤣
2026-10-10 07:07:14
2
issahmsesa
Issah Msesa :
mbona hamjuniambiy mapema nimeishia njiani 😭😭😭
2026-10-10 06:26:11
1
yasno_og
yasno_og🇹🇿 :
mpka nidaa😂
2026-10-09 22:31:54
0
user4100592515562ocholla
JAX MAKAVEL (ocholla) :
mm cna ata chochote lain enyew nimesajiliwa na mtu
2026-10-09 22:57:02
2
talzaally
Nuraty :
Yan ata sifikirii mara 2 asee
2026-10-12 14:36:10
0
edgar.baddie
Edgar baddie :
namie ambae sijasoma he
2026-10-11 21:00:29
0
user4109374121017
g7 :
nikiongeza na chandoa nishingapi kiongozi
2026-10-12 14:19:48
0
jumasaid431
jumasaid :
pamja na walimu itakua shi ngapi
2026-10-10 07:05:47
4
aliniuxf0ub
kendrick :
ata mim naxhoma kaka
2026-10-12 10:20:50
0
danielm91773
daniel M :
nipe laki mbili tu😎
2026-10-11 22:23:02
0
ashaabuubakary
Ashaabuubakary :
hahaaaaa
2026-10-10 03:55:54
0
To see more videos from user @manuelchiza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About