@manlubwaza:

man lubwaza
man lubwaza
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 03:59:38 GMT
81467
3462
120
20

Music

Download

Comments

taqbir.tz
TAQBIR.tz :
right angejua angelala mikumii aiseee rest in peace kamandaa
2026-10-10 08:53:24
2
castermagesa2
Caster Mabere :
kifo ndo mchongo pekeee ambao kila mtu anausikilizia ni swala la mda tu😢
2026-10-10 08:19:49
30
alvez421
ALVEZ 🤑 :
allah atujalie without mwema madereva
2026-10-10 06:24:22
0
mrtitch3
BRAVE MAN TZ🇹🇿🇿🇦* :
hii ndo ilipata ajari na bus la green line mkuu?
2026-10-10 05:56:09
15
antonymtewele
antony mtewele :
ajali nyingi sana zinasababishwa na madeleva watoto amabo wengi wana mihemko Yani utulivulivi na umakini barabarani hawana hata kama barabara mbovu vijana wengi wawapo makini wengi hawana majukumu majumbani kwako
2026-10-10 08:17:09
13
robbynjames612
Robby :
Daaah majonzi😭
2026-10-10 07:13:54
0
collinmaluli
Collin isdory :
inauma san[Crying]
2026-10-10 06:30:53
3
daniel100elius2
Daniel Eliusi💙S❤️💙• :
Ndipo nilipo kaa na kugundua kwamba hapa ni kuwa karibu na Mungu kila wakati na kila mara maana ndiye amjuaye kila mtu kwa u ndani,,, tuishi kumpendeza Mungu. Chochote fanya kwaajili ya Mungu
2026-10-10 06:10:11
16
monster_energ
wizy4life :
madereva mabas😓 mtatumaliza
2026-10-10 06:25:03
2
user5933174527045
kachala boy :
daaaah mungu amlaze mahali pema dere wetuu😭😭😭
2026-10-10 05:48:19
5
vedasto87
Vedasto Philip :
kwanini ali overtake mkambalani akijua pale ni kimeo sana ametuumiza sana ndugu zetu waliopotea
2026-10-10 10:12:28
1
hance124ney8
Ms..mine👌💦 :
TXDULLAH daaah la TARUMBETA😭😭
2026-10-10 07:25:56
2
tiko_am
Lwitiko :
Hawa madereva lazima mpasuane Sana maana niliwahi msikia Dereva wa bus anasema roli akitoa wewe kaza Huwa wanatisha [Fire][Fire][Fire] RIP Innocent souls
2026-10-10 10:53:20
0
mkatasony
black man :
daah inauma sana,apo ndiyo siri imefichwa na mola wetu,ungejua ungemuambia mwamba uko sio kuzur usiende,
2026-10-10 11:00:07
0
wtrp11gmail.com3
Watalaam Water proofing/epoxy :
Ila hapo mbona kabeba miti
2026-10-10 10:48:34
0
bmclassical
middle east :
mwisho unatisha😭😭😭
2026-10-10 10:38:23
0
bzoo138
Dafah :
dah inaumiza san unalia ila akun namna nikukaz mwendo
2026-10-10 10:13:00
0
wtrp11gmail.com3
Watalaam Water proofing/epoxy :
Sio hiyo
2026-10-10 10:48:43
0
daniel100elius2
Daniel Eliusi💙S❤️💙• :
Pole sana
2026-10-10 06:09:00
1
user9074499184359
muuh@45 :
amiin
2026-10-10 08:46:43
0
user7677167715143
Ray hills :
Daaah
2026-10-10 08:59:37
0
bbhuk884
bbhu :
Daaah
2026-10-10 08:55:10
0
zawadi.msangi0
Zawadi Msangi :
popeniii sanaaa daah madereva wote na mungu awalinde kila hatua yenu mungu akasimame nanyiiii
2026-10-10 10:20:16
0
aminarashidi21
evode by :
poreni sana
2026-10-10 09:04:22
0
nurudini741
nurudini n t r :
pole ndugu
2026-10-10 05:02:00
0
To see more videos from user @manlubwaza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About