They have built on the water path, that's why, this happens every time it rains
2026-10-10 16:21:57
1
Ray Kazao 🤫 :
water ways nature cannot be controlled
2026-10-10 07:50:52
6
ALEJO :
governor 1tam💪
2026-10-10 13:12:59
0
josephkaingu657 :
county ndio yenye ujinga waliruhusu watu wajenge kwenye mto wakauziba
2026-10-10 06:59:42
7
Mary maria001 :
ghai kwani maji yamezidi kua mengi sasa nitarudi vipi nyumbani
2026-10-10 10:17:58
3
Malove ❤️❤️❤️ :
yametoka. wap jaman
2026-10-10 06:58:05
1
Ali Seif Kalu :
wire ikianguka tu[Teary eyed]
2026-10-10 09:44:48
2
The Taria :
Ni mshomoroni? 👀
2026-10-10 07:51:05
2
mishi abdalla :
ya leo.hii?
2026-10-10 08:11:25
1
Sara N :
watu walala baharini leo jameni
2026-10-10 13:46:16
1
🦋💖salma💖🦋 :
Jamani n lini apa
2026-10-10 13:47:26
1
Mom Aisha 🥰 :
Niliona tu post moja nikajuwa n kidarajani. Yani huyo mbunge niwa nn ata harekenishi hapo tokea 2007 hapo mahali pemeleta mahafa mengi sana but hawapatengezi
2026-10-10 07:57:18
2
verah beib🥰🥰 :
waaaa
2026-10-10 07:00:54
1
qeen. :
mkiambiwa viongozi hawafanyi KAZI,ona sasa,hakuna sewage,sasa hii mambo ngani.
2026-10-10 10:15:38
1
Mr.. Landlord :
hayo maji yote yanatokea wapi inaonekana si ya mvua pekee
2026-10-10 05:35:36
2
Christine :
mitaro ya kutoa maji hakuna
2026-10-10 09:58:33
1
vall :
mombasa
2026-10-10 07:19:15
1
The Taria :
Weee
2026-10-10 07:49:51
1
BUMZENGE :
noma
2026-10-10 11:14:33
1
@ beloved💞💞💞💞💞 :
Duuh
2026-10-10 14:54:01
1
Auntie KB :
kumekucha 😂
2026-10-10 17:43:39
1
Moحd Tysوn :
Wewe Ndio gavana wewe ndio gavana wewe ndo gavana 🎶
2026-10-10 15:03:30
1
jackline Dzomb :
tena ndio inaanza
2026-10-10 17:36:02
1
Gafla01 :
nikipita hapo morning haikua mob hivi jioni kutakua aje
2026-10-10 12:06:37
0
To see more videos from user @evansragira, please go to the Tikwm
homepage.