@maalim.simba2: #JIFANYIE_HII_TIBA_IKIWABADO NITAFUTE, IKIWA WEWE UNA MAJINI AU MIZIMU LAKINI AIKUPATII NDOTO U WAMEFUNGWA,AU KUWAPA NGUVU WASIMAME VIZURI,KUWAFUNGUWA, #MAHITAJI_YA_DAWA, 1,MARASHI ROSE 2,ROSE WOTER 3,MARASHI PEMBA 4,UNGA WA KIVUMBASI 5, UNGA WA MAJANI YA MKUYU 6,MISK AINA3[NYEUSI,NYEKUNDU NA NYEUPE 7.UFUNGUO[MAFUTA] * CHUKUA MARASHI ROSE NA AYO MAJI YOTE CHANGANYA PAMOJA CHUKUA NA IZO DAWA ZA UNGA WEKA PAMOJA TUMIA KUOGA 1X2 ASUBUH NA USIKU KWA SIKU 3 TU PIA CHUKUA NA DAWA IZO ZA UNGA WEKA PAMOJA UWE UNAJIFUSHA KILA UKITOKA KUOGA DAWA YAKO, UKIMALIZA ILE SIKU YA TATU JIFUSHE UDI SAIFLORA SIKU 3 TU
Maalim Simba🔥
Region: KE
Saturday 10 October 2026 05:39:22 GMT
Music
Download
Comments
@Allykipele :
mimi niko nao ila sijui nifanyeje nateseka sana upande wa riziki
2026-10-10 12:18:24
1
shivo :
nakukubali Sana mwalimu kwatiba zako
2026-10-10 06:01:55
1
Sadiwaizak Platnum :
marashi niyakufanyia nini nao yakuoga kwenye maji au yakujipaka
2026-10-10 18:39:42
0
Maalim Simba🔥 :
Fanya mwenyewe usipoweza njoo tumuombe Allah tiba INAFANYWA UKIWA popote duniani
2026-10-10 05:44:10
2
To see more videos from user @maalim.simba2, please go to the Tikwm
homepage.