@ufr_tz: Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Tabora, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Peter Magayane, amesema baadhi ya waendesha bodaboda bado wanakiuka sheria za barabarani licha ya kuendelea kupewa elimu, hali inayochochea Jeshi la Polisi kuimarisha operesheni za kuwabaini na kuwachukulia hatua. Akizungumza na UFR, Magayane amesema kupitia operesheni hiyo maalumu, Jeshi la Polisi linaendelea kushirikiana na viongozi wa waendesha bodaboda kuhakikisha wanazingatia sheria, ikiwemo kuvaa kofia ngumu. Amesema Jeshi la Polisi halina nia ya kuwaonea waendesha bodaboda, bali kuhakikisha usalama barabarani unazingatiwa, huku akiwataka kufuata sheria ili kuepuka hatua za kisheria, ikiwemo kufikishwa mahakamani. Kwa upande wao, waendesha bodaboda wameunga mkono operesheni hiyo, wakisema juhudi za kuhakikisha sheria za barabarani zinafuatwa zinapaswa kuheshimiwa. Nao baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Tabora wameeleza kufurahishwa na operesheni hiyo, wakisema itasaidia kuimarisha usalama barabarani. 📻 Sikiliza Uyui FM Radio popote ulipo duniani, bofya kiungo (link) kwenye bio yetu. #2026Fanikisha #tunasambazaunyamwezi #Fanikisha #radioyetusautiyetu

Uyui FM Radio
Uyui FM Radio
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 06:27:05 GMT
8478
266
13
9

Music

Download

Comments

user1574306157988
young mashilika :
na ha2vai sasa
2026-10-10 09:48:54
2
rehema.msumeno
Rehema Msumeno :
na pikipiki nyingine tabora azina saiti Mira liamgalieni na Hiro pia kwa nini sait Mila qzina
2026-10-11 05:57:49
0
bd.g604
🍂Bad!♻️og✅️ :
wana shidwa kukamata wez wa boda boda wana kamata boda boda[Confused]iyo new kazi ya sasa kiupande wao.ngoja tule kwa uwezo wa mungu
2026-10-10 17:42:40
2
wamuluvyagirayusu
Wamuluvyagira Yusuph :
tumewakosea nini jaman
2026-10-11 02:52:34
1
abbygodfrey45
abby27🔖📡🧷 :
uhuru si 1961 Kwan shid nn Kwan
2026-10-12 18:28:38
0
mbovurider
Mbovu Rider 🚀 :
Sio kila pkpk ni bodaboda
2026-10-15 18:58:53
0
user3586273766967
user3586273766967 :
Kwa hiyo waziri mkuu Hana sauti aeshimiki
2026-10-17 19:53:18
0
fabiani.zakaria
Fabiani Zakaria :
2026-10-14 20:40:43
0
bd.g604
🍂Bad!♻️og✅️ :
2026-10-15 07:11:56
0
meja.fighter
meja fighter :
tarifa mwenye kiti
2026-10-10 07:20:14
0
mbovurider
Mbovu Rider 🚀 :
Sheria kwa boda boda 💩💩💩
2026-10-15 18:57:58
0
To see more videos from user @ufr_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About