@muksinshamte3: malaika kaja kama mwanadamu Kisha amuombea Dua mtoto aliyekuwa amepoozab

ROYY
ROYY
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 06:32:19 GMT
43878
1939
56
100

Music

Download

Comments

marishlove0
queen :
marshallah
2026-10-10 18:29:15
0
master_3008
Master Abd-llah :
movie gn iyoo[Tears of joy]
2026-10-10 19:06:03
0
user8547788686660
@#ndisputed Chakafu :
malaika hali wala hanywi
2026-10-10 14:28:06
10
chimamy.cauther
🎀Chimamy Cauther🦋 :
mashaall
2026-10-10 17:16:15
0
damarry20
İţ'ṣ̌ damkubwa👱‍♀️💕 :
nan anamlikod malaika jamn😳
2026-10-10 18:06:20
3
butto909
Nelly Lory :
hidhiri vist shes
2026-10-10 12:52:08
0
habibaally535
@habiba932021 :
mashaallah 🫂😭
2026-10-10 06:45:10
1
walinanziuxmum
moudrick🎉 :
Huwenda ikawa ni kweli nilipokua mdogo niliugua miguu gafla bas mama angu alijaribu kunitibia madawa hospital na dawa za kienyeji ikashindikana kwa muda wa miez 3 mama alikata tamaaa kabisa bas siku hiyo tulikaa njee kama hivyo akapita mzee akaomba maji mama akaenda yule mzee akaniambia tu pole utapoa akashika miguu yngu akanipa na dawa kwa Jina mti unaitwa mjohoro siku ya pili nikapoa nikatembea alhamdulillah so qarma is real🥰
2026-10-10 20:25:55
3
mamitojayree
mamitojayree :
ukiangalia kwa kujifunza utagyndua kitu kikubwa sana hapa mungu ana njia zote na si kila anayekuja kwako kaja tu wengin hutumwa na mola wetu si lazima mungu akultee malaika kwa macho yako umuone
2026-10-10 17:25:07
5
mwanapilijuma14
MRS SALIM :
wanao sema malaika hanywi wala kula mjue Allah anaeza tumia kitu chochote kukujaribu aone je ww umja mwenye roho nzuri ili aweze kukuponya kupitia huo mtihani ama kukuondoshea shida usione atatuma malaika amevaa nguo nyeupe ndio mjue ni malaika
2026-10-10 18:02:48
5
habibtyhabibty08
حبيبي روحي❤️ :
jamani mnaosema malaika hawi ivi mara vile Allah ni mjuzi na ni mwenye hekima na ni muweza wa kila jambo lolote analotaka liwe huwa mmesahau malaika pia si mwanadamu ukiachana na kula na vyote mlivyosema lakini mkumbuke pia Allah ni mwenye hekima hakuna analoshindwa kufanya mnataka mletewe shekhe mkubwa nadhifu utamsaidia kwasababu ya hali yke nzuri na si kwa imani
2026-10-10 20:18:02
1
abudhardhar1
abudhardhar1 :
huyo camera man alikuwa wapi
2026-10-10 17:47:25
1
adhacho3
Adha Cho :
musitudanganye tangulini malaika akala jamani
2026-10-10 16:47:21
1
dalila.ismail4
Dalila Ismail :
Laahila haillalaahh muhamad warasurul lah🙏
2026-10-10 17:19:43
1
rukiahaji780
Rukia Haji :
malaika huyo mbn anakula na mkono wa kushoto anakunywa maji akiwa amesimama na kam haitoshi malaika hana shida mpaka asaidiwe na binadamu
2026-10-10 16:08:39
0
user30886828470561
ram jaane :
ubaya wamambo yakidini ukiyaona yako tofauti ukioji tu unaambiwa unakufuru.
2026-10-10 19:16:40
0
chajuu8
Chajuu :
malaika hali wala hanywi jamn...
2026-10-10 15:49:37
1
user1977084532035
Atka :
Allahu Akbar
2026-10-10 10:30:26
2
dullahbayern
bayern :
malaika mbea huyu
2026-10-10 16:22:47
0
samiraerasto44gmail.com6
Mirah baby🥰🥰 :
Naomba sweta la malaika
2026-10-10 17:37:59
0
mercy93006
mercy💫🦂💝 :
Mungu nitumie na mimi 🙏🏽🙏🏽
2026-10-10 20:15:41
0
user74393735531460
user74393735531460 :
Ni kweli kwani jmn,subhanaallah inataka moyo Safi kwa huku visirani kwetu unamuamini mtu na kutaka kumsaidia kwa nia Safi lkn baadala yake anakupiga tukio ambalo hutokaa ulisahau maishani mwako, allah atukutanishe na watu wema inshallah 🙏
2026-10-10 20:59:27
0
husnahamisially
HuSNa🫶❤️‍🔥🙋 :
ila watu niwajuaji🙌
2026-10-10 20:11:12
0
user4043040417390
[email protected] :
allahu akbar
2026-10-10 17:42:40
0
To see more videos from user @muksinshamte3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About