Hii ni Suicide Mission ya dereva wa Lorry, imagine amebeba zaidi ya tani 20 barabara finyu halafu ana overtake sehemu isiyoruhusiwa tena high speed!!! Serikali ianzishe mpango wa kuwapima akili madereva wote wa magari ya mizigo na abiria
2026-10-10 17:55:00
0
Renei mdori Fashion :
unaenda wap
2026-10-10 07:59:15
1
Trust no one :
Eeh Mungu
2026-10-11 00:08:34
0
𝒎𝒓𝒔 𝒎𝒛𝒖𝒏𝒈𝒖🦋👄 :
nimeishiwaa nguvuu nduguu zanguu nimechokaaa sana najikuta naliaa jamanii nimepoteza ndugu zangu wengii mwenza wangu pia lakinii hiii imeniumaa mnoooo[Crying][Crying]
2026-10-11 01:50:38
0
Wizkid young🇯🇲413 :
daaah 😭😭😭
2026-10-10 22:29:28
0
Patrick :
mbn bus imegeukia Dar tena
2026-10-10 20:26:21
0
Solomon🏧🏧🏧 :
2026-10-10 08:39:27
0
Lulu.cheche.chech :
jamani kweli tambarare hivyo mbio sana ee Mungu wapokee watu wako
2026-10-10 17:51:24
0
KARIBU KUZIMU :
[Innocent]
2026-10-10 20:26:16
0
ALKEBULAN KADABRA :
🥰🥰🥰
2026-10-10 08:06:34
0
Taysamo Cece Benito :
🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️
2026-10-10 22:52:20
0
To see more videos from user @masawe_work_shop2, please go to the Tikwm
homepage.