@autulivu: heshimu watu kwasabab huyui ni nyakati gani uta wahitaji wakusaidie 🌿 ukweli nikwamba kila mtu kapewa karama yake na Mungu hata chizi unae muona Hana thamani kumbuka ndie ana fanya usafi barabarani 🌿kuna siku utapitia nyakati ngumu n napengine watakaoo kusaidia sio ndungu zako wakawa ni watu ambao hata huwajui