@kefajmalimali: Wimbo huu tayali upo YouTube by Kefa J Malimali - Lazima Washangae #goviral #gospel #music #comedia #onthisday @Zambia TikTok @Tanzania @Tiktok Monétiser @IndiatikTok @TikTok @Tiktok Report @Malawi TikTok @Tomir Trucks🚚🚒🚛

Kefa J Malimali
Kefa J Malimali
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 07:44:35 GMT
33041
1176
184
275

Music

Download

Comments

golden..1379..boy
Golden..1379..boy :
Daudi mwenyewe awezi [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-10 19:52:57
2
mbunge55
most wanted :
anasifa akiona mademu
2026-10-10 18:23:50
16
fabs_tv
FABS TV 🇹🇿 :
SASAAA HUYUUUU[Laugh approved]
2026-10-10 11:44:10
3
junior_mkemia
JUNIOR MKEMIA :
Mpaka Yesu mwenyewe anashngaa
2026-10-10 11:19:09
25
francsony24tz
francson :
naogop kukoment ntaambiwa barikiwa
2026-10-10 20:46:40
3
prince.machalla0
Prince Machalla :
Uyu sasa ndo chairman
2026-10-10 17:39:51
11
neema32993
🌹ney🥰🫶 :
Nilikuwa natamani udondoke [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-10 20:16:54
1
wizy.macode
wizy macode :
uyu anwezaa kujambaa kwa maikii😁
2026-10-10 19:29:32
2
amita.bachan1
Amita Bachan🥷 :
naogopa kukoment ntajibiwa barikiwa kama wengne wote
2026-10-10 17:33:27
2
mariamshitindi
♏AROY 8 MALIMIX 🦂🖤 :
nikajua anadondoka
2026-10-10 19:40:44
1
calvinlyando97
Mkali ☠️ :
yesu kakolea nazi😁
2026-10-10 20:26:45
1
asiamudy409
asiamudy409 :
yesu anafurahi kuona mbwembe kama hizi zinamtukuza yeye tu makofi kwake
2026-10-10 16:43:44
6
jumamchele
Official Jumaah🫡 :
namna hii yesu atatujibu kweli😳
2026-10-10 13:22:11
1
dejan04123
꧁𓆩༒𒆜D乂Ξフム几✌️ 𒆜𓆪𓂀𓊉꧂ :
apa mbingu lazima zifunguk😂
2026-10-10 18:29:59
1
hezhilaly8
agbadouCUBARS🕸️🐜 :
ama kwel hii n sanaa😳
2026-10-10 18:32:37
1
mwanetu.45
𝕞𝕨𝕒𝕟𝕖𝕥𝕦@@𝟜𝟝 :
chino mpya huyo hapo sasa dah
2026-10-10 15:32:34
1
blessedcamily
Blessed Camily :
😂sioo hakiiiiiiii
2026-10-10 16:09:05
1
vladimirlauden
Laude :
nasikitika
2026-10-10 13:12:58
1
jeremiajailo4
Jeremia Jailo :
hii dunia kunakuchanganikiwa hap🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-10 13:58:42
1
_h_i_m_s_e_l_f_
Gee_himself :
Jamani dunia saivi inantisha leo asubuhi wakati naenda kazini nilipanda boda boda ili niwahi kazini kweli nilifika pale kazini na jioni wakati wa kurudi nikapanda gari ya dala dala yani huwezi amini nimesha fika saizi nipo home nimetulia tu ndugu zangu
2026-10-10 20:02:03
3
user433209674149
Heviness :
barikiwaaa jamnii munguu wa ajabuu
2026-10-10 15:34:05
2
naomy17120
mama happy :
heeeee tutafik mbingun tumechoka
2026-10-10 10:01:16
1
jospidishengoma
last born :
ni lazima yesu ashuke
2026-10-10 09:37:51
1
dailypicha
SHUTTERBUG :
Kenya wametuvimbia sana na Embarambamba wao. Sasa na sie tunaye Malimali
2026-10-10 18:06:01
1
suleimansamweli63
five 🌟star :
kwanzia mbingu hadi watu na mm tunashindwa kuelewa
2026-10-10 15:16:55
2
To see more videos from user @kefajmalimali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About