me mkatoriki lakini hii, umenyoosha mtumishi🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🤝🤝🤝
2026-10-11 07:58:09
2
Brother Evance :
mm siyo msabato ila huyu Mbaga namuelewa sana
2026-10-10 20:14:22
2
rokasmartoutfit28 :
wewe umeokoka baba, hongeraa
2026-10-10 17:55:06
1
nicholausmasangula :
mtumishi mbaga nimekuelewa sana kwahili leo
2026-10-10 12:40:47
2
Yesu Anaokoa :
sasa mbaga unaanza kunifanya nikusikilize sasa
2026-10-10 18:11:48
1
Daudi Willy :
Amina mtumish wa bwana yesu kristo
2026-10-10 13:45:51
1
Roida Malekela :
Amina kubwa mtumishi
2026-10-10 09:07:09
1
Ray :
amen 🙏
2026-10-10 10:10:31
1
Edson Katoto🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇨🇩 :
nimechanganyikiwa Mimi Katoto ka yesu
2026-10-10 13:52:57
0
baraka kimario :
pia ata nikodemu alikwa mzabato pia ni mwalimu lakini alimjia yesu ili ajifunze wakovu wakweli
2026-10-10 09:59:42
1
MASAU MSABI :
amina
2026-10-10 21:23:08
0
Tody outfit :
waoo
2026-10-10 10:42:46
0
shirimatuda :
mtumish huko sahii sana
2026-10-10 10:14:56
0
Yesu Anaokoa :
sabato ni mwamini ndani ya Kristo,kwa sababu sabato ni Pumnziko,kutokufanya kazi,lakini Pumnziko halisi Ni mtu anapomwamini Yesu, Yesu ndani ya mtu,mtu huyo anapumnzishwa,unaweza ikashika siku na bado mtumwa tu
2026-10-10 18:13:55
0
CPA Hiza :
Hapo umekuja kwenye mshono!! team JESUS !!! YESU ni yote ndani ya yote !!
2026-10-10 19:17:04
1
Lickson jeremia 🇹🇿🇰🇪 :
Sasa mchungaji uvyo sema mulikua mnapiga kiw ijumaa Sasa iv mnapiga siku ya sabato
2026-10-10 12:45:05
0
Fking official :
🥰🥰🥰
2026-10-10 09:36:07
1
Jesus is my saviour :
Warumi 4:5
“Lakini kwake yeye asiyefanya kazi, bali anamwamini yeye ambaye huwahesabia haki wasiomcha Mungu, imani yake imehesabiwa kuwa haki.”
2026-10-10 15:09:59
1
To see more videos from user @threeangelsmessages, please go to the Tikwm
homepage.