hahaaahaaaaaaaaa oyaweeeewww. mm nliyajuaaa mwanzoooop ayoooo nabadoooo
2026-10-10 10:24:43
1
kadamlwenje :
ivi ndio wale mlienda kupiga kura mara mbilimbili saivi mnatupigia kelele hapa
2026-10-10 10:38:09
3
Zogo Babalao :
Zanzibar, Ukubwa wake hata Mkia wa Morogoro ni Mkubwa. Viwanja vya ndege 3, vyote hivyo ni vya nini? Zanzibar hakuna sehemu utayosafiri kwa gari ukatumia saa 2 hujafika? Ni dhahiri Wawekezaji wanapewa umuhimu mkubwa kuliko Wazawa....!! Zanzibar, ni shida🤣🤣🤣
2026-10-10 11:41:07
5
user3502918181621 :
aridhi ni mali ya Allah sio ya serekali
2026-10-10 12:00:54
3
mapesa :
mitano tena
2026-10-10 10:28:42
2
ALMAHROUQY :
uwanja wa ndege wa wa nini panueni barabara izo apo dakika 15 ushafika kutoka airport
2026-10-10 11:34:47
2
user79051109709373 :
Uwanja wa ndege mwengine wa nn zanzibar yenyewe ndogo yaani ninavo taka km leo amalize
Rais Wa zanzibar lazima awe mtu anatoka shamba ndo mwenye uchungu wa zanzibar na wazanzibar
2026-10-10 10:48:44
4
Maganzales1994 :
Ardhi yote ni mali ya sirkali 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-10 11:02:37
2
🎀aishuu_collect🤍 :
changamoto kwa kweli kibwa tuseme Alhamdullilah Alhamdullilah
2026-10-10 10:08:52
1
aly 4real-45 :
ni kwel saiv kila kitu cha serekal
2026-10-10 10:38:10
2
ZNZ 1st :
Unguja ukuu ipo katikati ya kisima hata tukitaka tuweke airport ya kimataifa pia sio mbaya
2026-10-10 11:28:52
1
user5624100452297 :
sasa mm nina kiwanja changu nataka kujengea kiwanja cha ndege nije nikutake ushauri tena
2026-10-10 10:39:17
2
Abdul-Malik :
Mlitakiwa kablabya kuenda kukagua eneo au kufanya chochote mlitakiwa kufanya mazungumzo na jamii muone vile wakavyolipokea na nini ushauri wao kwa serekali yao lakini mnafanya mamb kinyume nyume na kuwatisha wananchi kwa mambango mnayoyaeka kwwnye maeneo yao hio sio sawa bhnaa
2026-10-10 09:54:09
5
§çąṛfąč̣ɛ🇸🇴🛳 :
mmh uongo uwo uwanja wa ndege tena,uwo uliopo haujamalizwa kujengwa
2026-10-10 09:32:10
2
Ibrahem shafi :
Ardhi sio mali ya serikali ardhi ni mali ya umma serikali inao uwezo wa kuichukua ardhi ikiwa ardhi hiyo inahitajika kwa manufaa ya umma mfano Hospital, Skuli,Vituo mbali mbali inshort ni ikiwa ni kwa ajili ya umma sheria inairuhusu serikali kuchukua n si bure kuwalipa wenye ardhi fidia
2026-10-10 11:32:36
2
Tuma azizaaa :
rnamuona marehem kido rabby ampe kauri thabiti na kaburi lake liwe miongoni mwa viwanja vya peponi Amina
2026-10-10 09:04:17
2
Ak :
msipoangaliaaaaa wananchi wa zanzibar mtauzwa piaaaa
2026-10-10 10:26:08
8
Zogo Babalao :
Ardhi Malj ya Serikali lakini Karume alituambia tufanye Mapinduzi ili Serikali iwe Mali ya Wananchi
2026-10-10 11:37:41
1
LAMU TAXI DRIVER :
bado lugha zinatofautiana lkn mpk tuongee lugha moja 😁
2026-10-10 10:37:34
1
Nana butterfly 🦋 :
Viongozi mujuwe kuwa kuna kufa, na ukishakufa kuna hukumu, me nawakumbusha tu
2026-10-10 13:18:24
0
nawwar sultwaan :
mukitaka musitake ardhi yote ya Zanzibar ni mali ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.kwani kama serikali inajali kweli wananchi wao kivipi serikali isijali wananchi woa ijali maendeleo tu Sasa maendeleo bila ya watu yatakuaje?? karume ili kuondoa njaa alijua kama wananchi woa ni masikini aliwpaa watu shamba ili walime Sasa Leo shamba zote zinachukuliwa Sasa wananchi walime wapi na hawna pesa au hio miradi ikija Kuna mwananchi anaepewa japo laki 6 kwa mwezi ili kukidhi mahitaji Yao??? ss mm nashindwa kuelewa niliambiwa maendeleo maendeleo Gani ikiwa bahari I wanapewa wawekezaji nchi kavu wawekezaji watu walime wapi
2026-10-10 13:26:32
0
Sureboy Nassir :
RİP marehem Kido
2026-10-10 13:38:49
0
user5339978603821 :
ardhi sio mali ya serikali ardhi ni mali ya umma bali serikali ni msimamiaji.. hio ni kauli za dhulma na hilo kundi dhulma ndio furaha yao...
2026-10-10 12:59:06
0
sabramohamed72 :
kamishen wizi tu
2026-10-10 12:40:41
0
ZNZ 1st :
Asklm kwema nyie mnajuwa zaidi. Kama kuna malalamiko ya wananchi sehemu jingine nzuri kwa Airport ile sehemu ya jeshi tuweke airport pale tutasaidia pande zote mbilo kusini na kati na kaskazini
2026-10-10 11:28:10
0
To see more videos from user @jambianiforum, please go to the Tikwm
homepage.