@mcpacha_events: Tuache Uvivu tuwe tunaenda Jumuiya ,, ni muhimu sana 😅.. bado hamjapata location tuu !??? #viraltiktok #Love #fellowship #church #weekend
McPachaEvents
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 09:07:17 GMT
Music
Download
Comments
Rose Ngunangwa :
wasoma comments kama mimi tunaotaman bites gonga like😂
2026-10-10 11:26:51
4
mulisa :
umenikumbusha fellowship ya goigi mbez beach
2026-10-10 12:41:01
1
The choosen Glory Yusuph :
[Tears of joy][Tears of joy]ila hiyo jumuiya
2026-10-10 17:08:23
0
Sun Mi :
Jumuiya gani hiyo jaman nijiunge 😅😅
2026-10-10 10:26:39
49
💵 :
Kwanzia leo niwe naenda jumuiya [Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-10 11:53:48
0
ENGNEER ELLY UMEME@ :
bas ngoja nihamie mbez beach 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-10 14:30:31
0
Catholic Heritage Gift :
Mmetisha
2026-10-10 14:00:59
0
rosecute088 :
jumuiya kama hz huwez kosa sasa hz zetu mkifika hata wakusoma some hakuna
2026-10-10 11:32:59
32
Marium Kassim :
shida sio jumuiya, je jumuiya inamatajiri? uku kwetu jumuiya ikifika Kwa kibatala 2 mambo ndo hayoo
2026-10-10 14:44:39
12
Roynolds Arnold :
Kaka ijayo wapi nipo free😂😂
2026-10-10 12:40:26
5
Evasilver :
kwahiyoooooo....haya mateso mpk lini jina la jumuia tafadhali...
2026-10-10 09:20:53
7
Mtenga Lucy :
mmetisha sana
2026-10-10 13:50:58
2
Masam Levina :
Iko wapi nataka kujiunga 😅
2026-10-10 14:40:59
2
Minnie rockyx :
mim huwa namuuliz baba leo jumuia kwa nani maan so pwah 😂😂😂
2026-10-10 20:37:46
1
favouroutlookluxe :
Mbezi beach ushua jumuiya Ina misosi ya mana
2026-10-10 11:49:24
1
iraqw girl :
jamni nionesheen hap ni wapi niwe naenda jumuiya gan hiy
2026-10-10 19:29:50
1
Art🌄 :
jumuhiya yetu wanatupa kahawa za kutafuna na ni asubuhi🤣😭
2026-10-10 11:46:46
5
josia.16 :
Jumuiya gan mkuu😂😂
2026-10-10 13:55:04
1
francojackmtuy :
jumuiya yetu I love you yohane wa saaguni 😂😂
2026-10-10 14:43:15
1
💗PINK WITE💞💞 :
nakuja namm
2026-10-10 14:53:22
1
wear_by_nana🦋 :
naomb niamie kwenu jumuiyas
2026-10-10 14:24:41
3
Edith :
Jamani kwetu hatujakunywa hata maji.
2026-10-10 11:57:33
2
REALLY LIFE ⚠️ :
Niangalizie room maeneo hayo niamiee ukoo
2026-10-10 13:52:11
2
Veee collection :
tunasali lini na lini
2026-10-10 11:24:03
2
AKE :
Nitakua natoka Kimara nakuja kusali Imani🤣🤣🤣
2026-10-10 12:01:11
2
To see more videos from user @mcpacha_events, please go to the Tikwm
homepage.